Kwa nini hampendi pikipiki?

Kwa nini hampendi pikipiki?

Hutu tu Toyo ni big joke. Kitu Honda 250 cc
Tyta

12_250Sportbike_honda.jpg
 
yetu si ina gamba gumu kwa nje sasa nyie kile kinanilii kipo kama ulimi halafu ukalie 250 cc si itakua majanga kitaiva

heee!!!! ha ha ha basi baba ishia hapo hapo usiseme mengine
 
Mhh pikipiki ajali zake tu...nishanusurika moja,sina hamu nazo
 
Back
Top Bottom