Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
Mkuu cuf kama sikosei ni chama kikongwe, hata kama walienda mbeya labda ni mara moa tu`tofauti na lindi na mtwara cuf kwa mwaka wanakuwepo zaidi ya mara tanoHapana mkuu, japo mi si mwana CUF lakini huwa wanaenda Mbeya, binafsi nilishahudhuria mikutano ya Prof. Lipumba eneo la Makunguru nikiwa Mby, suala la msing je wanakubalika? Jibu rahisi ni HAPANA
Sehem hizi zinaaelewa wengi, mambo ya kahawa na kashata hawezi na pia CUF ni chama cha kidini kumbuka hivyo (Refer matokeo ya uzini na kauli ya Ismail Juha) so maeneo hayo wanatofautisha kati ya dini na sias, yaani kama wewe uwezo wako ni mdogo kiuongozi hata kama ni wa dini yao, watakupiga chini, tofauti na maeneo ya kiswahili swahili, mpee wa dini yetu hata kama uwezo wake ni mdogo.
Mkuu cuf kama sikosei ni chama kikongwe, hata kama walienda mbeya labda ni mara moa tu`tofauti na lindi na mtwara cuf kwa mwaka wanakuwepo zaidi ya mara tano
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
kwenye hivi vijiwe vya kahawa huwa wanaeneza nini hasa kwa maana nia ya chama chochote cha siasa ni kushika dola ,lakini kwa mtindo huu wa vijiweni mmtangu wamfukuze mzee James Mapalala hata kanda ya ziwa hawakanyagi tena!
CUF wanapendelea sana maeneo kuna vijiwe vingi vya kahawa, kama vile mikoa ya pwani na zanzibar
mkuu mbona kiti moto ndio nyama safi kwa mataifa yote yalioendelea pamoja naHalafu hiyo mikoa ndiyo inaongoza kwa kiti moto. Maana kule wanakula mpaka pua na makongoro ya nguruwe. Wanachoacha ni manyoya tu! Kudadaadeki
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
mbeya, arusha na moshi ni mikoa iliyozikwa kitovu cha yesu, huko UDINI umeshika kasi ile mbaya, kwao wakristo analosema askofu ndio mungu, kwao udini ndio nyenzo kuu. Tatizo la Tanzania ni mfumo kristo.