kwa nini cuf hawaendi Mbeya, Moshi, na Arusha

kwenye hivi vijiwe vya kahawa huwa wanaeneza nini hasa kwa maana nia ya chama chochote cha siasa ni kushika dola ,lakini kwa mtindo huu wa vijiweni mm

hawana la maana wanaloeneza zaidi ya kuimba wimbo wa hakiiiii!! After all cuf ni chama ambacho kina viongozi wenye poor vision from the top to lower level. Most of them are iliterate. Chama cha siasa lazima kiwe na strategic plan, either by attacking political competition in creating popularity. CUF ina bahati mbaya kuongozwa viongozi njaa.
 
mkuu huenda mtatiro akabadilisha mambo
 
Halafu hiyo mikoa ndiyo inaongoza kwa kiti moto. Maana kule wanakula mpaka pua na makongoro ya nguruwe. Wanachoacha ni manyoya tu! Kudadaadeki

Kaka hii kiti moto acha kabisa, Mtume anajua hilo na ndiyo maana alisema ukizidiwa piga kidogo usife njaa, Mbona hakusema ule mbwa?? Acha hii mada ya kiti moto,Wafugaji bora wa kiti moto wapo zanzibar na kanuni wanazijua.Njoo Machui kaka ujue ufugaji bora...Hamu tayari

mkuu huenda mtatiro akabadilisha mambo

Mtatiro akipewa nafasi angefanya mabadiliko kiasi chake. Tatizo viongozi wanamtumia kama chambo tu, kumpa nafasi hawataki. Hata hivyo bado ninawasiwasi naye, wakati yupo chuo alikuwa mbishi kweli, alikuwa anabishia mpaka ukweli. Ana roho ya ubinafsi.
 
Hiyo mikoa wanaamini Slaa ni ' mtume na nabii', nadhani ana sifa kama za mwenzake mwingira! Refer ile kesi ya mke wa wakili! Anyway, Mbona hamjiulizi kwa nini cCDM haistawi, Mtwara, Lindi, Zanzibar nk? Au penye CDM kuna kitimoto na mbege?
 
Back
Top Bottom