GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Kuna wakati nawasha kompyuta halafu inawaka vizuri tu, ninapoi-connect kwenye internet baada ya sekunde chache inazimika ghafla kama umeme. Je ni kwanini au ndio virus vishaingia? Kama ndiyo hivyo mbona Anti-virus yangu haija-detect?
Wakuu naomba tusaidiane yawezekana wengine wana tatizo kama hili. Kwa muda huu ninapoandika hii thread bado haijazimika.
Wakuu naomba tusaidiane yawezekana wengine wana tatizo kama hili. Kwa muda huu ninapoandika hii thread bado haijazimika.