Kwa nini Chadema imefulia - Siku hizi

Naona unaisifia mvua !

Hivi hamuwezi kujibu kwanini Chadema ipo kimya ?/7 mpaka mnakuja na mambo yanayowaelekea wenyewe.
Kwani CUF imeongea lini? We haya makongamano ya vijana na ufunguzi wa matawi kwenye vyuo vikuu unafananisha na shughuli gani ya CUF tangu uchaguzi? Au ni hasira ya kunyimwa uwaziri kivuli? Kuwa mkweli.
 
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.

Unaishi nchi gani? Mikutano ya mabibo na Makumira umeisikia? Chadema is setting the temple of TZ politics, Kama Siasa ni mpira basi chadema ndio kiungo mchezeshaji! Makamba and Co kazi yao kuijibu chadema! hawalali!
 
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.

You want to squirt?you better squirt rather than puke this nuisance
 
Unauliza unajijibu mwenyewe ,dalili zinafanana nini ? Sasa wale wasioelewa napenda kuwafahamisha kuwa Chadema hivi ilivyo sasa huwezi kuifananisha na wakati ule ambapo ilivuma Tanzania nzima na habari zake zilijaa kila kona na ulikuwa huulizi leo Chadema wamesema nini na wamefanya mkutano wapi.

Sasa ninapoulizia kwa nini ipo kimya wakati huu Afrika inazizima kwa harakati za kuwaondoa viongozi vilaza na vyama vyao katika madaraka huwa nahitaji kujua kimejiri kitu gani ? Maana sababu zipo tele za kuivaa serikali na Chama chake ili iwajibike. Hivyo nyie mahuhihuhi wacheni kujibu chengachenga.
 
Kwani CUF imeongea lini? We haya makongamano ya vijana na ufunguzi wa matawi kwenye vyuo vikuu unafananisha na shughuli gani ya CUF tangu uchaguzi? Au ni hasira ya kunyimwa uwaziri kivuli? Kuwa mkweli.

Aloo usiifananishe Chadema na CUF ,maana kiwango hakipo ,CUF wameshagonga hodi ikulu na wameshatia mguu ,na wandugu siasa hazifanywi kwenye vyuo wala shule ,huo ni UCCM.
 
Hii Mada haiwezi kusaidia kujenga taifa letu. Ndugu zangu wa Cdm,Cuf na upinzani kwa ujumla muwe na nia moja kuikomboa nchi yetu.
Kuwe na mikakati na mijadala yenye kuweza kuiondoa CCm madarakani na sio kuleta siasa za kupalangana. Nchi inaoza tuikomboeni sisi tunaohisi ni waelewa.
 
Kuuliza mbona Chadema ipo kimya mmekuja juu kama moto wa nyasi ,nahitaji jibu sio longolongo.
 
Utaelewaje na wewe bubu ? Si unafahamu bubu hasikii wala hasemi ? Naona unataka kumfahamisha kipofu rangi nyeusi ,taratibu !! Naisemea Chadema kwani ndio kwa niionavyo imekuja na meno ya juu ,so tunataka kuona meno hayo yanafanya kazi kiume !!

Hahahahahahahahaha LOL! Bubu huyu anasema na kusikia na ndiyo maana ana wasiwasi na hali yako na kwa kuwa anakutakia heri ndiyo maana anakutahadharisha kabla hali haijawa mbaya zaidi ili upate msaada. Ni maoni tu

Usiku Mwema.
 
Umerudia tena kuandika madudu yako. Miye hata sikuelewi kabisa. Mara uisifie CHADEMA mara imefulia ali mradi tu hueleweki. Inabidi uende kule mirembe wakakuangalie vizuri kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ni maoni tu.

Jioni njema

mirembe hawapokei kichwa mbumbumbu kama uyo labda CCM wanaweza maliza ugonjwa wake.kuna doc. Bingwa wa magonjwa ya akil dk. MAKATANI
 
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.
wakajifunze kwa cuf majemedari wao kama juma duni na maalim seif na mashujaa wengine wa cuf walikaa jela zaid ya miaka 4 hadi 5 lakin walipotoka ndio wakazidisha mapambano na matokeo yake kilamtu anajua,sio cdm wametishiwa nyau wameufyata wanajambia mtoni.
 
Majemedari my ass
 
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.
makamba kakulea vizuri kama wale wa YUSUF MAKAMBA SEC waliofaulu kwa zero 134,
 
Hili ni tatizo sugu kwa upande wa chadema ,mnamjadili mtu badala ya kupambana na serikali na chama chake,mlimsakama Lowasa na wezake akina Change ,leo kuna wepya ,sasa mnaendeshwa puta na Makamba ,kila msemalo lazima muandike Makamba ,hivi hamfahamu kuwa hawa jamaa wanapokezana vijiti ?
 
Back
Top Bottom