Kwa nini CCM itaendelea kushinda kwa zaidi ya miaka 50 ijayo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini CCM itaendelea kushinda kwa zaidi ya miaka 50 ijayo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikole, Oct 14, 2010.

 1. m

  mikole Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM inavuma katika anga za kimataifa kwa kuleta ukombozi barani Afrika,na Afrika nzima sasa kuwa huru.Jivunie CCM.CHAGUA CCM,CHAGUA KIKWETE.
   
 2. F

  Fikrasahihi Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli CCM imeleta ukombozi barani Afrika kwa uwepo wa Mwl. Nyerere na bado itaendelea kuleta ukombozi wa wananchi wa hali ya chini kwa uwepo kwa viongozi makini kama Dk. Jakaya na viongozi wenzake wenye uchungu na nchi yao,w3atanzania tushikamane na tushirikiane kwa dhati katika kuleta maendeleo ya nchi yetu, chagua kikwete, chagua CCM.
   
 3. General

  General Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Join date Sep and Oct 2010.
  I rest my case
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  day dreams!!!!!
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa ajira yenu itakoma Oct 31, hamtakuwa na nafasi ya kuja kumwaga upupu hapa. Jukwaa litaendelea ingawa ninyi mtatokomea
   
 6. F

  Fikrasahihi Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi tupo pamoja na nyie, bega kwa bega hatuwezi kuondoka aliyekwambia kufa kwa imamu ndio mwisho wa ibada ni nani?, uchguzi ukimalizika siye tatakuwa hapa hapa tutaendelea na majadiliano ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu sana katika ujenzi wa taifa letu!
   
 8. Shidende

  Shidende Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukombozi nje TZ wakati ndan ya TZ wanaiba na kuendelea kutukandamiza??
  Unaenda kuzima moto kwa jirani wakati kwako pia kunawaka moto??
  hiyo akili matope??
  And then unaniambia Chagua CCM??
  Labda niwe Marehemu
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  I rest my case!!! Kwani matangazo ya kifo chako yatatolewa 1/11/2010. Karibu.:biggrin1:
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Oct 14, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nyie ndo duplicate wa Malaria sugu mnaosign in kila siku ili kumpigia Jk kura...
   
 11. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #11
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajira milion moja Kiwete juuuuuuuuuuuuuuu


  [​IMG]
   
 12. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mwenzetu huyu hajaamka! Nchi zote zimeshakombolewa tayari it is now history. Tunataka ukombozi wa nchi yetu na maendeleo.come on!
   
 13. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hivi huo uchungu wa nchi JK ameuonyeshaje?

  1. Iko wapo Kagoda
  2. Vipi mapesa ya Meremeta na Tangold
  3. Vipi Richmond, na tunasikia yeye ndiye alikuwa mhusika mkuu lakini akamtosa rafiki yake
  4. Mabilioni yaliyoyeyuka kwenye halmashauri zetu?
  5. Vipi ununuzi wa rada na ndege ya raisi
  6. Vipi IPTL, na tunasikia kuwa yeye ndiye aliyetia sahihi akiwa waziri wa nisahati

  Ndugu yangu Fikrasahihi kama hukutumwa na unalipwa kwa kupiga debe, kaa chini ufikirie tena huo msimamo wako.
   
 14. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  UKOMBOZI GANI KWA WATU WA HALI YA CHINI ALIOLETA JK AMBAPO BEI YA BIDHAA ZINZPANDA KILA KUKICHA? JUZI KOMBA KAMWAMBIA KUWA SUKARI MBING KILO MOJA 3,500/=. HIVI TUMCHAGUE KWA KWENDA KUENDELEZA UFUJAJI WA FEDHA HUKO SERIKALINI AU KWA LIPI LINGINE?

  Milioni mia moja inatosha kujenga shule moja ya sekondari yenye maabara, mabweni , nyumba za waalimu na huduma zote muhimu za kufundishia. Hivyo bilioni 133 za epa zilizofujwa na viongozi wa ccm zingetosha kujenga shule 1330.

  Misamaha ya kodi mikubwa inayozidi kiwango kinachopendekezwa na wataalamu wa uchumi kunalikosesha taifa zaidi ya bilioni 500 katika bajeti ya 2010.11 pekee. Mingi ya misamaha hii inatokana na wawekazaji wa sekta ya madini kusamehewa kodi za mafuta, halafu madini wanayochinba pia taifa limnapata mrahaba kidogo sana wa 3% tuu, ilihali afrika kusin inachukua mrahaba wa 12% kutoka katika uchimbaji wa dhahabu.

  Kiasi hicho cha bilioni 500 kwa mwaka kingetosha kujenga shule 5000 kila mwaka (hivi sasa tanzania ina shule za sekondari 4102, 2009) na hivyo kuondoa kabisa tatizo la uhaba wa shule za sekondari, madarasa, madawati, mabweni, nyumba zawaalimu n.k
  .

  je katika miaka mitano ya jakaya kikwet ni kiasi gani cha fedha kimepotea kama misamaha ya kodi isiyo ya lazima na kiasi hicho kingeweza kuwapatia watanzania maendeleo kiasi gani?
   
 15. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  majadiliano gani unayoyazungumzia, mbona mapaka sasa ukiachia ushabiki haujaonyesha kuwa unao uwezo wa kuanzisha au kuchangia majadiliano kimantiki ili kusimamia upande unoutetea. Sis tunaoipinga ccm kama tungetaka kuitetea ccm pamoja na madudu yake tungeweza kujenga hoja na kufanikiwa kushawishi wengine. Ccm wengi vilaza, ndio maana bado m[po ccm!!!!!
   
 16. m

  magee Senior Member

  #16
  Oct 14, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tusibishane na vipofu hawa,wazandiki wasio na uzalendo.......wasomi tuungane kuwaelmisha wajinga kama hawa kwasababu tusipofanya hivi hawa ccm wataendelea kutawala....nimetembea vijijini hali babo sana watu wanahitaji elimu ya uraia na kuambiwa mabaya ya ccm imagine mtu hajawahi hata kusikia kuhusu richmond ama kagoda......nchi yetu ikiwa chini ya ccm tena wasomi ndo wakulaumiwa!!!!
   
 17. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,466
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Nani alitegemea Iron curtain ya Soviet itanguka ghafla ? Miaka hamsini nyingine siioni ,nani atoa hati miliki hiyo ?
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hata Karume aliwahi kusema hakutafanyika uchaguzi Zanzibar kwa miaka hamsini. Sote tunajua lililompata.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbalinga ! Huyo ametumwa na sidhani fikra zake ni sahihi kweli. Wagonjwa wa akili wanaongezeka. Hawa hata kama nchi itauzwa kwao ni sawa tu. Kwa kifupi hawana uzalendo wowote, lakini tusimlaumu sana labda ni mmojawapo anayedaidika na huu ufisadi uliokithiri nchi hii.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbalinga ! Huyo ametumwa na sidhani fikra zake ni sahihi kweli. Wagonjwa wa akili wanaongezeka. Hawa hata kama nchi itauzwa kwao ni sawa tu. Kwa kifupi hawana uzalendo wowote, lakini tusimlaumu sana labda ni mmojawapo anayefaidika na huu ufisadi uliokithiri nchi hii.
   
Loading...