Kwa nini 40? Nipeni jibu

Kwa nini 40? Nipeni jibu

40 ni kipindi kichungu.....kwasababu unafananishwa na mti wa muarobaini
 
Ili ugombee urais wa Tanzania pamoja sifa nyengine lazima ume na miaka 40
 
1:Mtoto akizaliwa
anatolewa nnje baada ya siku 40! 2:Mtu akifa, siku ya 40
anafanyiwa ibada! 3:Za mwizi 40!
4😛asaka ni baada ya siku 40 toka majivu!
5:Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku 40!

wataalam wa mahesabu wamethibitisha ya kwamba 20 * 2 = 40
 
1:Mtoto akizaliwa anatolewa nnje baada ya siku 40! 2:Mtu akifa, siku ya 40 anafanyiwa ibada! 3:Za mwizi 40! 4😛asaka ni baada ya siku 40 toka majivu! 5:Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku 40!

mtoto anafanya mabadiliko tumboni in every 40 days
 
Back
Top Bottom