Kwa nini 40? Nipeni jibu

Kwa nini 40? Nipeni jibu

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
1:Mtoto akizaliwa anatolewa nnje baada ya siku 40! 2:Mtu akifa, siku ya 40 anafanyiwa ibada! 3:Za mwizi 40! 4😛asaka ni baada ya siku 40 toka majivu! 5:Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku 40!
 
Musa alifunga kwa siku 40 mara mbili. Mara ya kwanza wakati anaenda kupewa Amri Kumi na mara ya pili wakati anamwombea Haroun ili Mungu asimwangamize
 
Musa alifunga kwa siku 40 mara mbili. Mara ya kwanza wakati anaenda kupewa Amri Kumi na mara ya pili wakati anamwombea Haroun ili Mungu asimwangamize

Afu unajua ni vipi Mr. Super, masela wengine wanafunga huku wanakula na kunywa lakini huyo mzee hakula wala hakunywa. Tupate wapi tena mtu kama huyo ambaye Bwana anakaa ndani yake.
 
Kwanini miez 12, masaa 12, wanafunz 12 wa Yesu, makabila 12 ya Israel...
 
Afu unajua ni vipi Mr. Super, masela wengine wanafunga huku wanakula na kunywa lakini huyo mzee hakula wala hakunywa. Tupate wapi tena mtu kama huyo ambaye Bwana anakaa ndani yake.
Masela gani hao?tujuzane!
 
Na mungu anamuumba mwanadam ndani ya tumbo la mama kwa hesabu ya 40 kila hatua. Pande la damu siku 40, kisha pande la nyama siku 40, kisha kulivika mifupa siku 40.......nk.
 
Kwanini miez 12, masaa 12, wanafunz 12 wa Yesu, makabila 12 ya Israel...

Hii ipo kiastrology zaidi kuna kitu kinaitwa zodiac katika mfumo wa nyota ambazo nazo ni 12 pia,dunia inazunguka katika nyota zote 12 katika miezi 12 ya mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom