Kwa nilichowakasirisha Jan hadi Jun tusameheane jamani

Kwa nilichowakasirisha Jan hadi Jun tusameheane jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,892
Kwa wale tuliowakosea Jan mpaka June 31, 2025
Tunaomba tusameheane

Samehe ili Mungu akusamehe

Usiponisamehe unafanya maisha yako kuwa magumu, na mimi niliyekukosea kurahisisha maisha ya baadaye

Mungu akubariki

Msamaha ni moja ya ibada kufika mbinguni
 
Umesamehewa ila punguza basi zile reply zako za kuzingua 🤣

200.gif
 
Kama hakuna mtu amekufuata au ww kuona umemkosea mtu basi jua wameshakusamehe au haujawakosea.

Life iko busy sana.

Wakat ww unawaza kuna watu umewakosea na wao wanawaza kuna watu wamewakosea.

wakat unawaza maisha yako hayako sawa na unadhan kila mtu anakusema. na huyo kila mtu anawaza maisha yake na kuna mtu anamsema.
Mwisho wa siku.

NO ONE GIVE A SHIT about You. ni mawazo yako tu.

Live your LIFE.
 
Mkuu sisi tunaoshinda humu
Hujui nani anakutafuta

Boraaaa uanze kujisalimisha mapema

Uwe na AMANI..mambo ya kukaa bar unamwona mtu PEMBEN anapiga simu umwelewi mara unaondokaa na bili za watu TUSAMEHEANE tu
 
Back
Top Bottom