Assalam aleykum!
Naanza na waziri husika technology inayotumika kuvuka ya kizamani sana hatuend na wakat wala muda,mfano siku mbili hizi MV KAZI kimeharibika kumetokea usumbufu mkubwa na katika taarifa ya habari nimesikia mna mpango wa kutengeneza kivuko cha nne
Ni hivii hata kikija kivuko cha nne wala sio njia mbadala ya uvushaji wa watu na vyombo,nna omba mfikirie njia mbadala ya watu na vyombo kuvuka
Hiyo technology ya vivuko ibaki kwa ajili ya utalii ila haiendani na kasi ya Dunia ya leo
Sitaki kuamini haiwezekan hata kama Meli zinapita ila siwez kuwashauri nini kifanyike ila ipo wazi pale kunahitaji njia mbadala na aina zile za Vivuko
Wabillah Tawfiq