Kwa niaba ya wanaJF wote, Nashukuru sana

Kwa niaba ya wanaJF wote, Nashukuru sana

Naogopa even salt kanizidi mi naogopa sura yangu mbay
hahaha! Sidhan sema unaogopa PM nyingi,kwa habari za kiinteligensia zinasema wanawake wanaopenda kuweka maua au midol kwenye avatar zao huwa ni wazuri/warembo sana,wakina siye tunaoweka picha za wasichana wazuri sijui Rihanna n.k ni wabaaayaaa hao!!!!!lolz
 
Back
Top Bottom