Kwa mwezi natumia 1000000+ kwaajili ya nywele tu

Kwa mwezi natumia 1000000+ kwaajili ya nywele tu

McCain

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
1,168
Reaction score
517
56e379904dabba2e6b3165757d10099b.jpg
kazi ipi ambayo wewe kwa mwaka utatumia 12000000+ hujaenda hongkong, hujala hujavaa kwa kazi ipi. Mkonda+sirro tuonyeshe kazi yake
 
Nahisi kuna kitu cha kujifunza kwa hawa wasaniii,
mwenye hii nchi hii alishakufa tumebaki wapangajii
 
Makonda atujuze kazi za hawa watu
 
Atueleze na hiyo misokoto anatumia anauza mingapi kwa mwaka
 
Milioni kumi kwa mwezi nywele tu? Huna hata kibanda cha udongo ni upuuzi uliopitiliza. Anyway kama kakutwa na kamsokoto tu..tena kamoja wamsamehe bure Tanzanian Sweetheart!
 
Back
Top Bottom