Kwa mwenye utaalamu wa systeam za mauzo

nsa ji

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
325
292
Mm ni mfanya biashara mdogo, ninaduka la dawa(Pharmacy ) Mtwara, ninaomba mtu yeyote aliye na ujuzi kuhusu mfumo wa MAUZO na anaweza kuja Mtwara kwa maafikiano maalumu ili kuniwekea mfumo huo wa mauzo Dukani kwangu, utaoniwezesha kujua takwimu ya uuzaji wangu kila siku, tuwasiliane ili tuafikiane. ..
Mawasiliano
Watsapp 0787215000.
Kwa call ya kawaida nitapatkana kwa namba hiyohiyo kuanzia Ijumaa Asubuhi.
Ahsante.
 
Hongera ndugu kwa kuthubutu kuanzisha biashara. Tunafahamu biashara inahitaji malezi ili ikue, kama yale ya mtoto.
Hivyo basi kwa utatuzi wa shida yako uliyohitaji na ushauri juu ya mbinu za kukuza biashara,wasiliana nasi kwa mawasiliano hapa chini:

MAXIMIZE YOUR BUSINESS PROFIT
Mussa
+255713039875
mussa@bongotech.info
www.bongotech.info
 
Back
Top Bottom