Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za JWTZ

Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za JWTZ

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jf, mm ni mhitimu wa diploma in marketing management sasa nilikuwa nna mpango wa kujiunga na jwtz na nasikia jwtz hawaajiri watu kutoka uraiani tu wanachukuwa wale wahitimu wa jkt sasa ningependa kufahamu hzo nafasi za jkt au jwtz zinatoka lini na ztapatikana wap na tutapataje taarifa kama nafasi zimetoka? Asanteni saana wana jf ningelenda kuwasilisha kwenu...
 
Jkt/jwtz hawaajiri bali wanaanikisha. Kuna tofauti kati ya "enroll" na employ
 
sasa diploma ya marketing na jwtz wapi na wapi?
 
sijakuelewa mzee wanaanikisha ndo nini?

kweli hiki ni kizazi cha nyoka. Kwa nini usijielimishe 'by association method?' kama hilo neno limekutatanisha kwa nini kabla ujaonesha ujuha wako hukutafuta tofauti kati ya enroll na employ? Ungetafuta usingeuliza hilo swali. Anyway nashukuru kwa swali.
 
Duuh yaan mtoa mada kila kitu ye haelewi tu anataka mnyambulisho kila anachoelezwa,sas JWTZ utaenda ku_marketing kitu gani??
 
sasa diploma ya marketing na jwtz wapi na wapi?

Politics mkuu ni mbaya sana, na ndio imeua kila kitu,,, jeshi la tanzania halifanyi production wala researches and innovation ila wao wapowapo tu,,, kama lingekuwà linafanya production na kujiendesha basi huyu jamaa angekuwa muhimu,, othewise anakwendà kupoteza taaluma yake maana haitatumika,,,
 
Duuh yaan mtoa mada kila kitu ye haelewi tu anataka mnyambulisho kila anachoelezwa,sas JWTZ utaenda ku_marketing kitu gani??

Miaka 51 ya uhuru atakuwepo taifa pale ku 'market' products toka Nyumbu.
 
Kwa nijuavyo mie,fani zinazotakiwa jwtz ni hzi zifuatazo..
-udaktari.
-uhandisi
-uhasibu
-manunuzi
-sheria
-ualimu hasa wa saikolojia
-computer science
-uandishi wa habari.
 
Kwa nijuavyo mie,fani zinazotakiwa jwtz ni hzi zifuatazo..
-udaktari.
-uhandisi
-uhasibu
-manunuzi
-sheria
-ualimu hasa wa saikolojia
-computer science
-uandishi wa habari.

Addition
-Public Administration
-Geography n environment studies
-International Relation
 
Kwa nijuavyo mie,fani zinazotakiwa jwtz ni hzi zifuatazo..
-udaktari.
-uhandisi
-uhasibu
-manunuzi
-sheria
-ualimu hasa wa saikolojia
-computer science
-uandishi wa habari.

Na hawa wanaapply direct makao makuu ya jeshi.
Ova ..
 
Mkuu jw wanakuwa wanatoa taarifa au personal unaandika maombi na kupeleka makao makuu? ova

Hebu naomba uniambie adress yao kaka mkubwa nipate kuandika baruwa yangu niikimbilie fursa hii maana kitaa cha moto sana ndugu zangu
 
Kuuliza sio ujinga especially kama hujui, ila ukimuuliza mpumbavu always anaona kama anakufaidisha...
 
Upo serious? nikupe ILA KWA SASA HAWA JAMAA WAPO SIR MNO KWA KAWAIDA ZINAKUAGA MWEZ WA 9 KWA FAN KA YAKO IZO NA WADEGREE,DTuma au nenda physically makao makuu ya JWTZ UPANGA DSM. Andika barua ya maombi ukieleza azma yako ya kujiunga na jeshi kwa anuani hii.JWTZ.MAKAO MAKUU.S.L.P 9305.DSM.VIATAMBANISHO NI BIRTH CERTIFICATE,BARUA YA MTENDAJI NA COPY ZA VYETI VYA TAALUMA.UNATAKIWA UENDE MWENYEWE MAKAO MAKUU UPELEKE MAOMBI YAKO.. afu baada ya hapo ndo wanaanza kupekua sasa kama utawafaa au lah! zingatia vgezo vyao usiende kule kwa kuwa umekosa ajira mtaani..Over
 
mijitu mingine kujifanya mijuaji unaacha kujibu mtu alichouliza unaongelea maswala ya lugha kama hujui kaa kimya.
 
Sasa hiv kuingia jwtz moja kwa moja ni vigmu sana kwa sbbu hata hko jkt kna watu waktosha kwa elimu yko na zaid ambao na wao wanasubiria nafas hzo na uctegemee kwamba ukiingia 2 unakuwa ofcer. Anza kufuatlia nafac za jkt mwez wa 1 km utbahatka kupta.
 
Na hawa wanaapply direct makao makuu ya jeshi.
Ova ..

no thank you. jeshi halina utaratibu wa application za kimyakimya. na siku hizi recruitment ya direct from street haipo. ushauri wa bure: zikitangazwa za jkt wahi huko. mambo yote yanaanzia huko.
 
Back
Top Bottom