Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za JWTZ

Kwa mwenye taarifa kuhusu ajira za JWTZ

no thank you. jeshi halina utaratibu wa application za kimyakimya. na siku hizi recruitment ya direct from street haipo. ushauri wa bure: zikitangazwa za jkt wahi huko. mambo yote yanaanzia huko.

Professional wanaweza kuapply direct makao makuu, Mimi ninaye ndugu yangu ameapply direct amechukuliwa now yupo monduli..
 
usidanganye watu na kuwapa matumaini yasiyokuwepo huo utaratibu haupo. labda utaratibu wake ulifanyika ngazi ya ikulu na CDF, na sidhani-kwa taaluma/professional gani special aliyonayo? lakini kwa kupitia ofsi zinazousika cp na cot huo utaratibu haupo. usidanganye umma ndugu yangu "ukweli utakuweka huru"
 
Atubishani hapa, anayehitaji apeleke maombi yake makao makuu ya jeshi upanga, huu utaratibu bado hupo na unatumika kwa professional, Pia unaweza pitia jkt...Kijana #rolla kaa na wakubwa ujue mambo yanavyoenda, over
 
umenifurahisha sana kuniita mimi kijana
"kaa na wakubwa ujue mambo yanavyoenda" unamaanisha nini? mimi naongelea official procedure. kwa maneno hayo niliyokwoti wenye akili zao wamekuelewa.
 
Asante ndugu zangu wooote mliochangia kwenye huu uzi npo seriouz kweli nataka nilitumikie jeshi langu na nchi yangu pia kwa hyo hivi leo naandaa barua kisha ntaipeleka personal kwa wale majamaaa, sema nao hawaishiwi visa wanaweza kunirusha kichura chura duwa zenu zna hitajika Over...
 
Back
Top Bottom