Sijaharibu feni ya mtu bali ni feni nzuri sana kimuonekano na ni imara pia ndiomaana nimeiulizia ili niweze kuipata.Ni kwamba umeharibu feni ya watu na mwenyewe anataka umrudishie feni kama hiyo hiyo! Au aina hiyo ya feni ni imara na nzuri sana!! I wish ungefunguka kidogo ili na sisi tupate mwanga. Kwa nini Lofida?
Kasake model hii pia ya dolphin utanishukuru G - 4035R hutojutiaSijaharibu feni ya mtu bali ni feni nzuri sana kimuonekano na ni imara pia ndiomaana nimeiulizia ili niweze kuipata.
Haya kiongozi ni mara elfu moja bora kuliko hio lofidaSawa mkuu nitaisaka, shukrani