Kwa mwendo kukizuka kipindupindu tutamlaumu nani?

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,229
4,554
Kwa mwendo huu, kikizuka kipindupindu ama magonjwa mengine tutalaumu akili zetu, wataalamu waajiriwa wa afya, viongozi ama? Mtu ni afya!

DBCfcjTUQAAQl_w.jpg
 
Tutachukua hatua baada ya kipindupindu kuanza....kwa sasa wacha wauze tu vyakula vyao.
 
Nahisi nina tatizo, mbona sioni kitu kichafu cha kusababisha kipindupindu hapo ..!
 
hawa watu ni wachafu aisee. hapo ameenda kutita, ametawadha lakini hajanawa na sabuni. hapo ndio huwa wananichosha kabisa. vyoo vyote vya buguruni magomeni na kooote huko havinaga sehemu ya kunawa mikono kwa sabuni, unabeba kindoo tu cha maji unatita unatawaza afu unanawa bila sabuni. wachafu balaa.
 
Back
Top Bottom