Kwa mujibu wa sheria nini maana yake?

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
Nimekuwa nikisikia viongozi wengi wa serikalo na siasa hasa wa chama tawala wakitaka kumbana mtu unawasikia wakisema kwa mujibu wa sheria. Sijawahi kuwasikia wakinukuu kwa usahihi sheria yenyewe wanayoisimamia lakini utawasikia ni budi kuwepo na utii wa sheria kwenye hili. Je sheria tajwa ziko vichwani mwao au wanazungumzia sheria zipi? Inanichanganya sana kwa kweli!
 
Kutaja kifungu anaweza Lissu tu Mkuu,wengine hawa hawasomi
 
Kwa mujibu wa sheria wanamaanisha wafanye jins sheria inavyo hitaj....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…