Kwa Muago Huu wa Stars Tupo Serious?

Kwa Muago Huu wa Stars Tupo Serious?

Ngho

Senior Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
121
Reaction score
192
Tumeona team nyingi zinazoenda Afcon zikiagwa kwa uzito sana, sisemi halijafanyika hilo hapana ila je, tumekosa viongozi wote wa juu kwenye hili?

Wenzetu wengi wameagwa na Viongozi wakuu wa nchi zao, mbona wa kwetu hawajalipa uzito suala hili?

Tuna Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Spika na Waziri wa Michezo wote tumewakosa labda yawezekana kazi za kitaifa zimewabana ila katika hili lingepewa uzito, tumesubiri kwa miaka mingi kwenye TOURNAMENT hii ila tusharidhika tayari, Taifa Stars imeangwa na Naibu Waziri, KILA LA KHEIR
 
Yaani Juliana ndio kawaaga stars? Oh! Jiwe si mlaumu najua hajui kitu kuhusu mpira wa miguu! Ila PM ni mwanamichezo hakuona umuhimu wa hili jambo?
 
Hata mm ningekua kiongozi nisingeenda kuwaaga maana wanaenda kufungwa tu na kurudi Tz
Muhimu kuwapa hamasa regardless watashinda au la! Hivi vitu ni muhimu
 
Lolote litaweza kutokea. Walipaswa wawasupport kweli hata kuwaaga na waziri wa michezo awasindikize.
 
Suala ni kujali tu hata angekuwa na matatizo we have to treat them equally
Sioni jambo jipya, kama ni state house washaenda wakapewa nasaa,labda kama unasema why hawajapewa ahadi yoyote kama Nchi nyingine walivyopewa
 
Sioni jambo jipya, kama ni state house washaenda wakapewa nasaa,labda kama unasema why hawajapewa ahadi yoyote kama Nchi nyingine walivyopewa
Attention ilotolewa as if jambo lenyewe sio kubwa
 
Back
Top Bottom