Naomba kujuzwa jinsi ya kujiunga na vyuo kwa mtoto aliemaliza form six Uganda, kumakuwaga na taratibu tofauti na waliomaliza hapahapa au ni sawa tu, na kama kuna taratibu tofauti naomba kujuzwa ili nijiandae mapema kabla application hazijaanza,,
Nitashukuru sawa
Nitashukuru sawa