Kwa mtindo huu!!

Nakula asubuhi, mchana na jioni...Naoga mchana..nafanya kazi siku 5/masaa 5 kwa wiki

Asee Joseverest hauna njonjo na kelele nyingi lakini unajulikana sana.Nadhani wewe ni miongoni mwa JF Members wanaoongoza kwa mahudhurio.Kikubwa ni busara zako tu ndio muhimu.Halafu kuna jamaa mmoja anaitwa Jabis Avatar yake inataka kufanana na yako.Hivi Jabis yupo wapi?
 
Hahaha sawa mkuu...Jabsis sijajua yuko wapi kwa sasa, labda majukumu huenda
 
Ndio mkuu huku JF kila mtu ana maisha yake binafsi, sasa kuna wengine kazi yao ni kuchunguza fulani anaishi vipi hana kazi au hana,, anakula/hali au analala saa ngapi.. Cha kusikitisha zaidi mtu unaweza ukawa offline kwa muda ukirudi tu online wanaanza maneno yao..ooh we jamaa uko 24/7 mara hulali n.k kitu ambacho si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…