Wakati wa uchaguzi ni wakati wa mavuno kwa waganga wa kienyeji. Vigogo na vizito karibu wote hutembelea huko. Safari hii mambo yatakuwa tofauti. Huwezi kuiloga People's Power!
Je unakumbuka wanaccm hao hao ndo waliotutangazia juu ya uwezo wa Babu wa Loliondo mpka wakatengeneza na mabarabara kwamba babu yule angewaponyesha, kwa mara ya kwanza tukashuhudia jinsi nchi hii ilivyo na viongozi wagonjwa mpaka viongozi wa kiroho nao wakapewa vikombe kwa babu?
Sasa hao hao wanakuja na mizimu ya nyoka afu unakuja na uzi kwamba lazima watashinda. Mbona unajidanganya ndugu yangu? Poleni kwa kujipa matumaini yasiyikuwepo. Haiwezekani likawezekana unalotwambia labda MUNGU awe amekwenda ziara ndefu kusikojulikana pamoja na malaika zake wote.
Pole sana CCM jiandaeni kuangalia gemu mkiwa nje ya uwanja!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.