Kwa mtazamo wa kiroho namba 369

Kwa mtazamo wa kiroho namba 369

Ukikubali hayana mchakato wa kisayansi, basi ukubali pia kwamba si kila mtu atalazimika kuyaona yana ukweli.

Ushahidi ndiyo huwa unamlazimisha mtu kuamini.
Usilazimike kuuona ukweli kwakuwa haupiganiwi.. Kama upo upo na kama haupo haupo

Na ushihidi si dhana yenye mchakato si dhanifu.. Hivyo nao haulazimishwi
Je tuko sawa hapa?
 
Hata namba hizo zote ukizijumlisha na kuziweka katika dijiti moja zinarudi kwenye namba 9,
Mfano: 3+6+9
=9+9
=18
Ukiirudisha namba (18)kwenye dijiti 1
1+8
=9
Katika elimu ya nguvu ya namba katika maisha "numerolojia" maisha yanatawaliwa na mitetemo ya kinamba( 1 mpaka 9) ingawa zipo namba zinazoweza kujirudia kama " namba kuu/ master numbers)

Hata Siri za Tesla zipo kwenye namba hizo (369)
Logo ya google chrome ( ina Siri za 369).
 

Attachments

  • images.png
    images.png
    8.9 KB · Views: 1
  • images.jpeg
    images.jpeg
    7.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom