drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 295
jana rafiki yangu alikamatwa na tgo kwa kosa la kutanua uku na uku tgo wakataka 200000 yani kila mmoja laki jamaa akaona nyingi bembeleza wakakataa wakampeleka kituoni akuna dhamana mpaka j3 mahakamani na mahakamani wanasema ni siku 14 kwanza kwa trafiki kesi nimefwatilia nimekuta madereva kibao wapo ndani kwa staili hiyo asa wa daladala kwa staili naona heshima itakuwepo kwa kweli ila inauma siku 14 yani no dhamana no nini