Kwa mswati kutamuu

Dk 3 zinanitosha sana nikikutana nae
 
Hiyo sijui saa nne kabisa!!!Halafu unaweza kukuta bado ana kizibo na majanda yake kabisa
 

Mwiko sketi kuvuka paja
 
Pasco sasa sijajua kosa lilikua lako au la dem hahaa maana siku moja tu kahamia kwa mkenya? Afu nasikia wakaka wa kikenya wabovu kunako 6 kwa6.
 

kumbe mijitu yenye ukimwwi tunayo mengi wallahi
 

Mkuu Pasco, Basi Mkuu, umenikumbusha kitu nilipokuwa kwenye kozi fulani kule Manzini, usiku tunajirusha Club if Not why Not , mchana hususan week'nd tunaekea Manatanga Cultural Cntre na Ngwenya Glass Works. Basi si nikapata Mdada wa Kiswatsi anaitwa Sibongile na umbile lake unalolifahamu kama walivyo, nikaendelea kujitwalia lakini nikiwa natumia kinga kama kawaida nisije kuwahi kufika kwa Baba maana bado sijapakumbuka. Siku moja kaniacha mdomo wazi, alikuja na Mdada mwingine, kwa jinsi unavyonifurahisha nimekupenda sana ila "huyu rafiki yangu hajapata mwanaume kwa muda mrefu, naomba leo uwe naye" !!!!!!!. Kwanza sikumwelewa, nikadhani anatania, aliposisistiza nikaona yuko serious, tukaendelea kupiga kinywaji, baadaye huyo akaturudisha hotelini (Home stay) tena kwa gari lake, akaniachia rafiki yake nikajisavia, kesho yake akampitia wakenda wote kazini, nikaendelea kubaki mdomo wazi, jioni akaja pekee yake kwenye shughuli kama kawaida, niliposimulia marafiki zangu wa huko wakasema hiyo ni kawaida kwa wanawake ila kwa wanaume haiwezekani na wana wivu sana, unaweza kuchomwa kisu au kupigwa risasi kama ukikutwa na Mpenzi wa mtu.
 
Last edited by a moderator:

Wabongo wengi sana wamepoteza maisha South kisa wazulu RIP Omolo Chale makum..! Kapinga na wengine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…