Kwa msimamo wa sasa wa kundi la Yanga, kuna matumaini kiasi gani watafuzu robo fainali ?

Unajiita Bright ila mgumu kuelewa. Jamaa wanakwabia wanaagalia H2H kati ya yanga na belozidad. So Hata yanga apigwe goli 100 ameshafuzu

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Hilo sikujua mkuu, kwa hio leo Yanga angemfunga Belouzdad goli 2 huku Belouzdad aliifunga goli 3 Yanga, inamaanisha kwamba hata Yanga angemfunga Al Ahly goli tano na Belouzdad afungwe na Medeama kisha Yanga na Belouzada wafanane point, Yanga asingefuzu ?
 
Hata akifungwa 100, keshafuzu.
Screenshot_20240224-214407.jpg
 
Hilo sikujua mkuu, kwa hio leo Yanga angemfunga Belouzdad goli 2 huku Belouzdad aliifunga goli 3 Yanga, inamaanisha kwamba hata Yanga angemfunga Al Ahly goli tano asingefuzu ?
Wanalinganisha magoli waliyofungana endapo tu wamelingana pointi, kama Yanga angeshinda goli 2 kwa CRB na goli 3 kwa Ahly angapita maana angekuwa na pointi nyingi kuliko CRB
 
Soma hapo
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-24-21-48-58-063_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2024-02-24-21-48-58-063_com.instagram.android.jpg
    1 MB · Views: 1
Hilo sikujua mkuu, kwa hio leo Yanga angemfunga Belouzdad goli 2 huku Belouzdad aliifunga goli 3 Yanga, inamaanisha kwamba hata Yanga angemfunga Al Ahly goli tano na Belouzdad afungwe na Medeama kisha Yanga na Belouzada wafanane point, Yanga asingefuzu ?
Mkuu una kichwa kigumu sana. Yanga angeshinda leo 2 kisha akamfunge Al Ahly atakuwa na point 11. Belouzad akimfunga medeama mechi ya mwisho atakuwa na pointi 8, asingevuka. Watavuka Yanga mwenye pointi 11 na Al Ahly mwenye pointi 9.
 
EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi

View attachment 2915213

1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)

Mechi za kumalizia

Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria

Medeama ni kibonde wa kundi si ajabu akapigwa hata nne, Yanga na Al Ahly washajipigia za kutosha wakiwa nyumbani

IKIWA YANGA ATAPIGWA TATU KAMA ALIZOPIGWA NA BELOUZDAD UGENINI, KISHA MEDEAME APIGWE NNE NA BELOUZDAD, SAFARI ITAENDELEA ?
Inaonekana wewe shuleni ulizungusha maana kichwa chako ni kigumu kuelewa, kinachoangaliwa hapo ni head to head, Belouzdad kwao alishinda 3, na wao kwa mkapa wamepakatwa 4, kwa hesabu nyepesi tiyali wametupwa nje ya michuano ata wakimfunga medeama goli 100,
Ndio maana official page za caf wamepost kuwa yanga kafuzu moja kwa moja robo fainali ya klabu bingwa, mechi ya yanga na Ahly ahly ni ya kujua ni nani awe kinara wa kundi but yanga na Aly ahly washafuzu tiyali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom