GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,572
- 117,796
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.
Najua wale wa PSU mpo sana hapa JamiiForums na mnanisoma mno GENTAMYCINE hivyo niseme tu nimeshangaa mno kwani kama huyo Dada Mlinzi angekuwa ameiva hasa Kiulinzi kamwe asingemruhusu yule Mtu amtangulie mbele yake na awe karibu vile na Mheshimiwa Rais kwani ni HATARI mno.
Haya nyie Watu wa PSU mlioko hapa JamiiForums hivi kwa mfano yule Mtu aliyeondolewa na huyo Mlinzi wa Kike angekuwa na Kisu au hata Dhamira mbaya na Rais kwa ule ukaribu aliokuwa nao asingeweza labda kutufanya Watanzania tuwe tena katika Siku 21 za Maombolezo na Bendera kupepea nusu Mlingoti?
Jamani Mwanamke ni Mwanamke tu acheni kutaka Kulazimisha kwakuwa Rais ni Mwanamke basi hata na hao Walinzi wake kutoka PSU basi na Wao wawe ni Wanawake. Kama anawapenda sana awaweke Nyumbani Kwake Kizimkazi wakaribishe Wageni ila alindwe na Walinzi wa Kiume wanaoweza Kazi.
Halafu mbona Siku hizi wananenepeana sana? Hivi kwa mfano likitokea la kutokea wataweza Kutekeleza Majukumu?