Kwa mshauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mshauri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lady N, Aug 18, 2010.

 1. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mume na mke walienda kwa mshauri kuhusiana na matatizo ya ndoa yao. Walipofika, mwanamke akaanza elezea kwa muda wa dakika 15 kuhusu kero azipatazo.

  Alipomaliza, mshauri akanyanyuka kwenye kiti akaenda akamshika yule mwanamke kwa kuonyesha anamjali, akambusu hapa na pale. Yule mwanamke akabaki kimya bila la kuongea.

  Mume akauliza, ''umewezaje kumnyamazisha?''
  Mshauri akajibu "unatakiwa umfanyie hivyo kila siku."
  Mume akajibu "basi ntakua namleta kwako"
   
Loading...