Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,712
- 11,611
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
usikute ni waziri huyo....Unafanya kazi gani hadi unalipwa pesa nyingi hivo 🤭
Atakua mtu wa system 😀Unafanya kazi gani hadi unalipwa pesa nyingi hivo 🤭
MchambuziUnafanya kazi gani hadi unalipwa pesa nyingi hivo 🤭
Kwani mtu kulipwa milion 1 ni hela nyingi? Hizi comment zinaonesha hali tuliyonayo kama watanzania 😆😆Tumejua unavuta million mkuu asante kwa taarifa!
#ngojateammakasirikowajewacomment!😁😁
Jitahidi ndani ya miaka 2 kabla hujadanja usitumie hiyo 1m uwe unaweka tuu utapata nusu yake.Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
View attachment 3279370
Kwa bongo unakuwa unaingiza pesa nyingi kuliko at least 85% ya watz, kwa hio sio pesa ndogo hio1m bado ni hela ndogo kama una majukumu, wategemezi, wazazi nk
Ndio ni nyingi sana mkuuKwani mtu kulipwa milion 1 ni hela nyingi? Hizi comment zinaonesha hali tuliyonayo kama watanzania 😆😆
Bado tu kwa mshahara wake kama hana vyanzo vingine vya mapato itabidi adundulize kwa miaka kadhaaKwa huo mshahara jiwekee mpango wa kununua gari isiyozidi sh 50,000 000/=, ili iwe rahisi kwako kuinunua bila kukuingiza majaribuni!
Million kwa mwezi na watu wanaondoka na aftatu kutwa nzima!Kwani mtu kulipwa milion 1 ni hela nyingi? Hizi comment zinaonesha hali tuliyonayo kama watanzania 😆😆