One ya point nane ya ngwine au ya nani!
wote hata wa law, wote ngwine tu, hakuna lolote, kimsingi ni kwamba walimu wengi wa secondary wana ufaulu mzuri tu
tatize ni nyangwine kawaharibu, nashukuru ngwine kaja miaka yenu, na angekuwa enzi zetu asingethubutu kutoa kitabu na mzee nyirenda.
chukulia nilesoma vitabu vya akinashivji, nyirenda nk na wewe uliepiga ngwine wapi na wapi
labda ni wale walimu walofoj vyeti!!!
Katika uchambuzi wako weka na Jedwali la sifa za kujiunga Ualimu, Kilimo na Afya.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Ualimu[/TD]
[TD]Div IV[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimo[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afya[/TD]
[TD]Div I-III[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya hapo tafakari jibu utalipata kirahisi sana ndugu yangu.
SAWA wewe ulifundishwa na jiwe na ukafaulu ivyo! MUNGU AKUBARIKI SANA NA UFANIKIWE MAISHANI!...ETI golden BOY! SASA nani asiyejua hayo!wewe didimiza tu ELIMU KWA KUWA NDUGU ZAKO WENGI WANASOMA ULAYA!Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi
KAMA HUJATUMWA sijui!......unataka kuniambia hakuna walimu wenye DIVISION 1 MPAKA 3 au wewe umeona tu hiyo 4?...ni ivi ualimu huwa unaenda mpaka Div 4 KWA JILI YA MASLAI HAYOHAYO IVYO WATU WENGI HAWAENDI SASA NDO mana unaona ivyo!yaani hauna motisha!....!kumbe unaona sawa walimu kunyonywa?...siamini!
Mimi nina wasiwasi na ELIMU YAKO HATA WEWE INGEKUWA NO IVYO HATA AKINA mulugo wasingepata huo uwaziri kama inaangaliwa ivyo! mimi kuna watu nawajua kutoka ndni ya mioyo yao tu wanapenda fani ya ualimu na walifaulu vizuri mboan wapo ndani ya iyoiyo system ya mishahara?...yaani nimeamini mchawi wa mwalimu ni mwananchiimwenyewe! halafu hapa mnakuja kulalamika eti Wanafunzi wanafeli kwani zamani walikuwa wanafauluje?....na bado itakuwa 3 +3=9.....Unamwaga ugali wanamwaga mboga!Tatizo la msing tulilonalo Tanzania ndio hilo ndugu yangu nkyalomkonza. Mpaka hapo watu wa DIV I watapoingia ualimu, sioni namna mishahara ya waalimu itaboreshwa.
Ufumbuzi unaweza kuwa walimu wapate mishahara kama hiyo ya Kilimo kwa sharti kwamba wawe na daraja la kwanza au la pili katika elimu yao ya kidato cha nne. Najua itakuwa ngumu lakini lazima tujaribu. Mshahara wa Mwl mwenye degree pia iangalie matokeo yao ya kidato cha nne.
Ndio maana ukiangalia ajira ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam, sio kwamba wanangalia tu elimu ya degree ya Masters au PhD - lazima matokeo ya kidato cha nne na cha sita yawe kiwango kinachotakiwa. Kwa maana hiyo mtu aliyejiendeleza au kuungaunga hawezi kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wengi wamekosa ajira kwa sababu hiyo. Hili linaweza kufanywa kwa walimu.
Lazima tu tufike mahali ualimu usiwe ni sehemu ya kwenda baada ya kukosa sehemu zote nyingine. Upo usemi mitaani siku nyingi kwamba lol amekosa hata ualimu!!
Hahahahahah.....Acha wewe kuna mtu ana div 1! say PCB akawa mwalimu? nonononononononooooooooooooo huu utani
Hahahahahah.....Acha wewe kuna mtu ana div 1! say PCB akawa mwalimu? nonononononononooooooooooooo huu utani
Wewe una div ngapi ya hkl?
Wewe una div ngapi ya hkl?
wacha uongo wako. Kuna wahadhiri wengi wameunga sana tu, mfano mzuri ni Michael Kadege. Unajua àlikotokea?Tatizo la msing tulilonalo Tanzania ndio hilo ndugu yangu nkyalomkonza. Mpaka hapo watu wa DIV I watapoingia ualimu, sioni namna mishahara ya waalimu itaboreshwa.
Ufumbuzi unaweza kuwa walimu wapate mishahara kama hiyo ya Kilimo kwa sharti kwamba wawe na daraja la kwanza au la pili katika elimu yao ya kidato cha nne. Najua itakuwa ngumu lakini lazima tujaribu. Mshahara wa Mwl mwenye degree pia iangalie matokeo yao ya kidato cha nne.
Ndio maana ukiangalia ajira ya Chuo Kikuu, Dar es Salaam, sio kwamba wanangalia tu elimu ya degree ya Masters au PhD - lazima matokeo ya kidato cha nne na cha sita yawe kiwango kinachotakiwa. Kwa maana hiyo mtu aliyejiendeleza au kuungaunga hawezi kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wengi wamekosa ajira kwa sababu hiyo. Hili linaweza kufanywa kwa walimu.
Lazima tu tufike mahali ualimu usiwe ni sehemu ya kwenda baada ya kukosa sehemu zote nyingine. Upo usemi mitaani siku nyingi kwamba lol amekosa hata ualimu!!
NARUDIA TENA wewe UMETUMWA!na Namuomba MUNGU AKULAANI KWA KUWAKANDAMIZA WALIMU! ETI WLIFELI SIO WOTE! basi na hyo masomo ungejifundisha bila haohao walimu,ualimu ni wa kuheshimika!je mapolisi na wanajeshi na vitambi vyao ndo walifaulu? yani ningekuona ningekukunja shati!Mimi niliiacha History tokea form 2, nilichukua pure math! so option zangu zilibaki PCM,PCB,PGM na EGM.
Narudia Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kwenda kusoma ualimu akiwa na DIV 1 ya PCB or PCM.......... kama wapo labda wale walioandaliwa deal maalumu somewhere.............Acheni kulalamika msome mkiwa vitandani kisha mtake mishahara sawa na wale waliosoma wakiwa miguu ndani ya maji baridi.
Hahahahahah.....Acha wewe kuna mtu ana div 1! say PCB akawa mwalimu? nonononononononooooooooooooo huu utani
Mimi niliiacha History tokea form 2, nilichukua pure math! so option zangu zilibaki PCM,PCB,PGM na EGM.