Mkuu ninadhani hapa ulimi umeteleza labda ulitaka kusema walimu wengi wa sanaa.ila kwa sayansi nadhani siyo sawa
kwa mujibu wa waraka wa watumishi wa serikali Na 1. Wa mwaka 2013, wenye Kumb. Na.CAC.205/228/01/C/14 wa Julai 2, 2013 uliosainiwa na Katibu mkuu Utumishi Ndugu George D. Yambeshi. Unaoonyesha marekebisho ya mishahara kwa watumishi wa serikali. Katika waraka huu unaendelea kudidimiza kada ya ualimu kulingana na kada zingine kama vile kada ya afya, sheria na kilimo na utafiti ambapo kada hizi hulipwa mishahara mikubwa kuliko ya walimu.
NGAZI YA ELIMU UALIMU/ ELIMU KILIMO AFYA Certificate (Cheti) Tsh 344,000/= Tsh 1,060,000/= Tsh 562,000/= Diploma (Stashahada) Tsh 432,500/= Tsh 1,252,000/= Tsh 821,000/= Degree (Shahada) Tsh 589,000/= Tsh 1,473,000/= Tsh 994,000/=
[TD="colspan: 4"] Jedwali hili ni kwa mujibu wa waraka huo uliotajwa hapo juu
[/TD]
diploma ya ualimu sifa ya kujiunga ni principal pass moja na subsidiary moja yaan ukipata div4.18 kwa alama E,S unasoma diploma na watu kibao wamepata ES div4.18 wapo vyuoni wanasoma diploma ya ualim
Na mapolisi je?maana hao ndo failures wasio na mfano halafu,wanajifanya wajuaji,hawa ndo ng'ombe kabisa.sidhani kama kuna polisi mwenye Div.1-3,wote ni 4 na vyeti vya wizi
Nina wadogo zangu watatu wanasomea ualimu , najuta kuwapeleka huko !
.....Mama.ko mjinga wewe na kwa hayo mawazo yako ya kimaku lazma utakua pu.nga wewe %&#@!&?*.
Kwakweli huwa nakerwa na watu wanaolia mishahara humu kwani sisi iatuhusu nini? the best way ni kujipanga na ukefanya mambo yako. mshahara hautakiwi kumtosha mtumishi kokote kule kama hujui pitia google utajifunza principles za kupanga mshahara.
wenzenu tunakula kwa vichwa vyetu, kama vipi njoo huku wala hatujui viyoyozi wala viti vya kuzunguka; huku kazi tu but hatulipwi hizo. Naendesha boda boda kwasiku sikosi 25,000/= baada ya kutoa za tajiri. 25,000/= x 30 = 750,000/= kama vipi niambie nikupe moja kwani nawaza kunua lingine nimpe mtu anisaidie kuniongezea kipato.
Najua unaumia lakini mbadala upo... unaweza kukopa 8,000,0000/= kutokana na mshahara huo na ukapata boda 4 ... unahakika kila wiki 168,000/= kila mwezi 168,000 x 4 672,000/= mkopo utakatwa 256,000/= kwa mwezi. why ufe masikini? tatizo lenu wasomi waviiiiiiiivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Aisee hii mbona inakaukweli ndani yake! Dah sikuwahi kufikiria hivyo hapo mwanzo ila kwa sasa inabidi wawe wapole tu kama kigezo ndio hicho.
Naona watu wanaacha kujadili hoja ya msingi wanajadili division 1,2,3 na 4. Hv aliyesoma loyola,almuntazir,feza boys nk akapata div 1 na aliyesoma matola au namtumbo akapata 4 utasema ni kilaza pasipo kuangalia mazingira waliyosoma? Basi waliopata div 1 form 6 mbona hawapati first class chuo kama ni vichwa.acheni hizo kudharau profesional za wenenu
By the way mishahara ya serikali ni kiduchu,hasa serikali kuu.
Over
Kwani wangekuwa na ufaulu mzuri wangeenda huko. Ualimu always ni last resort.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Samahani usi generalize , mimi nimeingia UDSM mwaka 2001 na point 8 CBG Bachelor of Science with Education, hivyo siyo walimu wote wenye IV naomba tutakane radhi.
Kwakweli huwa nakerwa na watu wanaolia mishahara humu kwani sisi iatuhusu nini? the best way ni kujipanga na ukefanya mambo yako. mshahara hautakiwi kumtosha mtumishi kokote kule kama hujui pitia google utajifunza principles za kupanga mshahara.
wenzenu tunakula kwa vichwa vyetu, kama vipi njoo huku wala hatujui viyoyozi wala viti vya kuzunguka; huku kazi tu but hatulipwi hizo. Naendesha boda boda kwasiku sikosi 25,000/= baada ya kutoa za tajiri. 25,000/= x 30 = 750,000/= kama vipi niambie nikupe moja kwani nawaza kunua lingine nimpe mtu anisaidie kuniongezea kipato.
Najua unaumia lakini mbadala upo... unaweza kukopa 8,000,0000/= kutokana na mshahara huo na ukapata boda 4 ... unahakika kila wiki 168,000/= kila mwezi 168,000 x 4 672,000/= mkopo utakatwa 256,000/= kwa mwezi. why ufe masikini? tatizo lenu wasomi waviiiiiiiivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Wakati mwingine huwa nawaza kuingia msituni!

Tatizo la waalimu wengi wanatarajia matokeo mwishoni yawe sawa na uku serikali inaangalia vyanzo vya elimu yenu!
Div 4......Ualimu na Div 3 za mwisho yani mtu ana ka pass au credit moja anataka awe sawa na mtu Div 1 au Div 2 wanaoenda Afya na law! jamani acheni mbwembe na wala msitumie wingi wenu kudai visivyowezekana serikal sio malofa hadi wawaweke kundi moja na Golden Boy!...nyie simefundishwa kwenye psychology kuhusu Golden boy, silver na IRON BOY! Hawa hamuwez kua sawa nao ata mfundishe uchi
tatizo la Tanzania ni watu wa utawala mbao ni vilaza kupindukia na bahati mbaya ndio wanaopanga mishahara. Mfagizi wa TRA au TANROADS analipwa laki tano ni fomu four failure. Halafu mwalimu na bachelor yake unampangia laki tano hiyo hiyo. Very strange