Kwa Mpaya wa Dr HGM je amekuwa promoted au demoted?

BLUE DOG

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
717
1,225
Ndugu wana Jamvi

Je Kwa Mabadiliko haya madogo ya Baraza la mawaziri ambapo Dr Harrison G Mwakyembe ameteuliwa kuwa waziri mpya wa Habari, utamaduni na Michezo je amakuwa promoted au demoted

Hi najiuliza kutokana na taaluma yake ambayo alitakiwa awe karibu kabisa na mkuu kumshauri mambo makubwa na ya msingi sana katika taifa letu

Hamuoni ni sawa na Amiri jeshi mkuu kumwamuru mkuu wa majeshi akafundishe mgambo?

Karibuni wana jamvi tusemezane.
 
Back
Top Bottom