Kwa moyo wa eac eac unawafahamu hawa......................................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa moyo wa eac eac unawafahamu hawa.........................................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chibhitoke, Sep 10, 2010.

 1. c

  chibhitoke Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umewahi kuwasikia hawa, labda tungekuwa na sampuli kama za hawa nchi yetu ingekuwa tofauti

  1. Fred Rwigyema
  2. Alex Kanyerengwe
  3. Sir Agathon Rwasa
  4. Pasteur Bizimungu
  5. Faustin Twagiramungu
  6. Jean-Bosco Ndayikengurukiye
  7. Leonard Nyangoma
  8. Melchior Ndadaye
  9. Remmy Gahutu
  10. Rajabu Hussein
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ni kweli tuko kwenye EAC...:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:...Lakini damu yangu imenisisimuka sana kuyaona majina hayo...jeez!...Bwana Yesu Ingilia kati!
   
 3. c

  chibhitoke Member

  #3
  Sep 10, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PK,
  Hao ni watu wema kabisa hawana tatizo ila uzalendo kwa nchi zao ndo umewajaa. Tungepata mtu kama Jean Bosco au Agathon Rwasa nadhani tungekuwa mbali sana. Sijui hili shirikisho hili litaanza lini, ili tupate hivi vipawa vituongoze wana wa EAC.
   
Loading...