polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,812
IGP siro nimekufahamu tangu kitambo sana na hasa tulipo kuwa depo miaka fulani.
Ukiwa kama brother wangu kwani umenipita miaka kadhaa, Tafadhari sana tupia jicho haya mauaji na matukio ya unyanyasaji raia yanayofanywa na askari wako kila uchao kwa kisingiazio cha uhalifu.
Brother unatupiwa jicho tena jicho kali sana na nadhan hujagundua hilo na kama hujagundua basi nimekuibia kidogo kajambo haka.
Kuna hatari iliyoko mbele yako brother wangu.
Brother taarifa zinakusanywa kwa kasi sana tena zenye maelezo na vielelezo huku zikiambatanishwa na utetezi wa ma RPC wako wa mikoa.
Unakusanyiwa data brother na hatua unazo chukua dhidi ya hawa askari wako.
Vipigo vya askari dhidi ya raia vina kusanywa tena kwa maelezo ya Pande zote mbili yaani upande wa askari wako kupitia MA RPC NA OCD na upande wa raia walio shuhudia matukio.
Wakusanya taarifa wanaenda mbali zaidi maana wana kusanya hadi picha na video kama zipo kutoka kwa raia walio kuwepo maeneo ya matukio.
Brother fanya mikakati brother wangu nakupenda sana kwani ulinipa ujuzi mwingi sana wa kikazi maeneo mengi tuliyo kutana kikozi na kikazi
Kaka achana na wana siasa hawa jaribu wakati mwingine kusimamia weledi na miiko ya kazi kwani natabiri kuna muda utaachwa peke yako kujibia mambo mengi na wana siasa hao hawata kuwa na namna ya kukusaidia.
Brother sirro mimi nipo nawe na unajua hilo nakupa kipande tu cha yajayo ambayo hayata furahisha.
"Nakala"