Kwa moyo mkunjufu kabisa, IGP Sirro shtuka. Kuna hatari mbele yako!

HUU sio muandiko wa kiaskari....hujawahi ata kupitia mafunzo ya mgambo....askari huwa aandiki kama mtu anae kimbizwa na tembo....hakuna lolote litakalo mkuta IGP kwa maana kila lifanywalo na mtoto jua fika lina baraka kutoka kwa BABA yake.

Kuna askari anaebeba kirungu ana div 3 hata, wote ni iv ya 30, unategemea atakua na handwriting nzuri kama ya mtu mwenye div 3 ya 25
 
Sidhani kama uko sahihi kuna askari wana ufahulu mzuri na niwengi tu na ninadhani ufahulu unao kuzidi hata wwe

Pia swala la uaskari halina mahusiano ya moja kwa moja na haitegemei sana ufahulu wa darasani kwa elimu hii ya maingi (sekondary) ndio maana kukawa na kozi maalum ya vyombo vya ulinzi na kuna miiko yake pia

Elimu ya sekondari ni elimu msing lazima upitie ila unaweza kupewa kozi bila kupitia huko na ukafanya vyema

Usichanganye mambo na wala usikashifu askari na vyombo vyetu vya ulinzi na wala sio tarajio na malengo ya uzi huu

maana kwa uwepo wao amani ipo tukiacha na hao wachache wanao lichafua jeshi
 
Unajua kilichomtokea aliyekuwa mkuu wa jeshi la polisi uganda, au umeamua tu kuleta shombo za kiccm huku
Bendera ya uganda ina rangi ngapi...? Bendera ya Tanzania ina rangi ngapi...? HuoNi tofauti za rangi tu kwenye bendera...? Yani naakili zako unaifananisha Nchi ya Tanzania na mkoa...?
 
Hujamsaidia huyo rafiki yako kama kweli unampenda zaidi kupika tu majungu then awaone wasaidizi wake yaani ma RPC kuwa ni wabaya kwake....ningekuwa mimi Sirro ningeanza na wewe kwanza kukushughulikia

Mkuu mbona una waza Kinyapara sana ,ame tahadharishwa awachunguze hao wa chini yake wewe unasema ungalikuwa ni wewe ungeanza nae sasa nikuulize kwani ni Uongo hakuna Unyama unaofanywa na Polis dhidi ya Raia ?.

Akwilina Akwiline (R.I.P.) mlimpaka Mafuta !!?
 
HUU sio muandiko wa kiaskari....hujawahi ata kupitia mafunzo ya mgambo....askari huwa aandiki kama mtu anae kimbizwa na tembo....hakuna lolote litakalo mkuta IGP kwa maana kila lifanywalo na mtoto jua fika lina baraka kutoka kwa BABA yake.

Anaweza kuwa na Baraka za Baba yake lakini ukumbuke Wapo wakubwa kuliko Baba yake aliempa Kazi ,anafungwa na Mikataba ya Kimataifa ya Haki za Binadamu..Hebu fikiri zaidi ya hapo Mkuu.
 
Sidhani kama uko sahihi kuna askari wana ufahulu mzuri na niwengi tu na ninadhani ufahulu unao kuzidi hata wwe

Pia swala la uaskari halina mahusiano ya moja kwa moja na haitegemei sana ufahulu wa darasani kwa elimu hii ya maingi (sekondary) ndio maana kukawa na kozi maalum ya vyombo vya ulinzi na kuna miiko yake pia

Elimu ya sekondari ni elimu msing lazima upitie ila unaweza kupewa kozi bila kupitia huko na ukafanya vyema

Usichanganye mambo na wala usikashifu askari na vyombo vyetu vya ulinzi na wala sio tarajio na malengo ya uzi huu

maana kwa uwepo wao amani ipo tukiacha na hao wachache wanao lichafua jeshi

Hakuna askari mwenye divi 3 akawa mlinda benki wewe, waleeeee wooooooootee unaowaona wanazunguka mtaani ni vyeti vya kununua au 4 za mwisho

Kimbilio la waliofeli ni UPOLISI
 
Anaweza kuwa na Baraka za Baba yake lakini ukumbuke Wapo wakubwa kuliko Baba yake aliempa Kazi ,anafungwa na Mikataba ya Kimataifa ya Haki za Binadamu..Hebu fikiri zaidi ya hapo Mkuu.
Hizo ni ndoto za mchana kama kufungwa angefungwa mkapa...ila yupo wapi hivi sasa...?
 
huna mali yoyote...wenye mali huwa atujitapi...narudia tena ata mlango wa depo wewe hujawahi kuukanyaga...hakuna lolote litakaloweza kumpata IGP...na ni kuhakikishie tu kuwa IGP sirro atastaafu salama kama watangulizi wake walivyostaafu kwa heshima....ivi kuna IGP aliyepata kashfa kama OMARI MAHITA...? yupo wapi hivi sasa...? kuna baya lililowahi kumkuta...?

Siku hazigandi na kila Zama na Kitabu chake ,Maisha walio Ishi Babu zako sio unayo yaishi wewe kwa Wakati huu Mkuu.
 
Hakuna askari mwenye divi 3 akawa mlinda benki wewe, waleeeee wooooooootee unaowaona wanazunguka mtaani ni vyeti vya kununua au 4 za mwisho

Kimbilio la waliofeli ni UPOLISI
Hapo umekosea sasa...ni haki ya kila mtanzania kuilinda nchi yake...haijarishi uwe umefaulu ama umefeli...wala hakuna sehemu yoyote kwenye katiba palipo ainisha elimu juu ya kiongozi haswa hawa walinzi wa kitaifa...wapo wanasiasa waliofeli...wapo walimu waliofeli...kueli kupo kila sehemu na wengine wanafeli ata maisha pia...wasomi wengi wapo majeshini haswa huko polisi ndio maana leo nchi yetu ni ya Amani sana...
 
Siku hazigandi na kila Zama na Kitabu chake ,Maisha walio Ishi Babu zako sio unayo yaishi wewe kwa Wakati huu Mkuu.
Endelea kuota sijui hiyo ndoto unayoota itaisha lini...kwa faida yako tu...unadhani kwanini magu alimuondoa Mangu...? Unadhani kwanini alitengua baraza la mawaziri...na unadhani ni kwanini kila rais lazima atengue uongozi punde tu aingiapo madarakani...?
 
Kwa akili ya mjinga yeyote na aliye mpumbavu wa akili , mali, hekima , na busara hakika ni lazima awe na mawazo ya mfano wako

Si vibaya kwani msafara wa mamba kenge wamo pia na hili jukwaa linakusanya aina zote za watu.

Nilidhani ungekuwa na busara tena sana kama ungeniuliza hivi , ""kwanini umeamua kuleta huu uzi huku ili hali IGP SIRRO mnafahamiana??"" Kidogo hapo ningekuona una kichwa, lakini kwa ujinga ulio toa wewe hakika yafaa nilivyo kujibu
Hujamsaidia huyo rafiki yako kama kweli unampenda zaidi kupika tu majungu then awaone wasaidizi wake yaani ma RPC kuwa ni wabaya kwake....ningekuwa mimi Sirro ningeanza na wewe kwanza kukushughulikia
mapoti wanashikana mashati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni ndoto za mchana kama kufungwa angefungwa mkapa...ila yupo wapi hivi sasa...?

Mkuu unapo Soma Taarifa inafaa Uelewe ulicho kisema usikimbilie kubisha tu anae shauriwa hapa ni IGP ,huyo Mzee Mkapa kaingiaje hapa ?.Na ume kielewa nilicho kujibu ktk Post yako niliyo quote ?
 
Endelea kuota sijui hiyo ndoto unayoota itaisha lini...kwa faida yako tu...unadhani kwanini magu alimuondoa Mangu...? Unadhani kwanini alitengua baraza la mawaziri...na unadhani ni kwanini kila rais lazima atengue uongozi punde tu aingiapo madarakani...?

Hayo yote sifahamu Mkuu Sababu za kila anae ingia Madarakani kutengua tengua Watendaji alio wakuta ,kwa Faida ya Jukwaa hili (japo tupo nje ya Mada) tuna kuomba utujuze ni kwa nini ..nna tanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom