MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,377
- 8,086
habarin wadau..
kuna jambo linanisumbua japo lilinitokea miezi kazaa iliyopita..
mama yangu alienda ibada nigeria kwa tb joshua
nililipa usd 1700 kwa trip arrangement via Scoan tanzania ofisi pale near mariedo...ila ililipwa via bank account waliyonipatia..
na baadae nikalipia 132,000 ambayo ilikuwa viza fee ya ubalozi wa nigeria tanzania...
hayo yote nililipa kwa amani kabisa kutoka moyoni maana utaratibu wa malipo haukunipa maswali mengi.. maana deposit nilifanya crdb bank via account ya scoan tanzania.. na pia ya ubalozi wa nigeria nayo nilifanya bank nbc tanzania.
baada ya hapo kuna hela niliambiwa niende nayo pale ofisini usd 100 ambayo ni cash.. sikupewa risiti yoyote japo niliuliza kuhusu risiti majibu yakawa ya chenga chenga..
maana niliambiwa ya kuwahonga maofisa ili viza, ticket etc zipatikane haraka haraka.. nikawaza kweli kwenda kwa mtumishi wa Mungu kunahitaji rushwa yeyote... watu wa Mungu wanatoaga rushwa? nikajua nimeliwa ila sikutaka mama yangu akose ibada aliyoniomba miaka mingi nikakaa kimya....
nikalipa sababu nilikuwa na nia tu ya kumpa furaha mama yangu aende ibada maana alitaka sana kusali scoan isingekuwa mama yangu nisingelipa..
swali nililojiuliza why hii usd 100 hawakusema niiweke bank kwenye account yao... why watake cash na huku hawatoi risiti...
na bado nikauziwa tshirt kwa elfu 25 kwa lazima... tshirt ambayo haifiki hata elfu kumi maana aina yake ni first light, made in arusha tanzania,,,, kwa wanaojua tshirt wanaijua.... bei ya jumla haizidi elfu 6.... kuinununa plus gharama ya printing (screen printing ile 2000) tukauziwa hiyo tshirt kwa 25,000 elfu na ni lazima uinunue.. maana mnavaa sare sare airport.... mi nilikataa mama yangu akasema ninunulie mwanangu nikakaa kimya pia
akili yangu inaniambiaga hela yeyote ambayo hailipwi kwa mfumo wa fedha iwe bank, mpesa, max malipo etc... ni hela ya watu wameila tu.. maana haina audit???
SCOAN tanzania najua upo humu.. naomba unitoe hofu kwa jibu zuri maana nikiiiwaza usd 100 yangu nakosa amani