Kwa mliowahi kupata kazi kupitia utumishi,Naomba kuwauliza.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
nyinyi wakati wa interview mliweza kujibu maswali yote kwa ufasaha au kuna ambayo yaliwashinda kuyajibu na bado mkabahatika kupata kazi?
 
m najua kuna marks kwa kila swali ukizid cuttoff marks kwa interview mfano ni 60 we ukapata zaid unaingia kwenye database na ukiwa na marks nying zaid ya washindani wako unapata kaz
 
Mimi nilipata kazi kupitia hiki chombo,
Mambo wanayotazama ni haya;
1.Idadi ya wasailiwa
2.Idadi ya nafasi za kazi kwa nafasi husika
3.Alama anazopata msailiwa.
Kama mkifanya usaili kwa nafasi mathalani kumi hapo watachukuliwa kumi wa kwanza, lakini wanawake hupewa upendeleo. Anaweza akachomolewa wa 13 na akaachwa mwanaume wa 10 au wa 9.
Kama utakuwa umepata alama angalau hamsini unakuwa umetimiza vigezo vya kuajiriwa, hivyo wanaweza kukuita kwa kazi ambayo hata hujaiomba ndani ya miezi kama 3 hivi.
Kuhusu kushindwa baadhi ya maswali:Mimi niliyajibu yote ila kuna maswali kama 2 hivi nilitaja points kama 3 badala ya 5 walizozihitaji. Na kuna moja nililijibu ila mpala leo sijafuatilia kama yale majibu yalikuwa sahihi.
 
nyinyi wakati wa interview mliweza kujibu maswali yote kwa ufasaha au kuna ambayo yaliwashinda kuyajibu na bado mkabahatika kupata kazi?
hata mimi nilikuwa nataka kuuliza hivyo hivyo, asante kwa kuniwakilisha
 
Mimi nilipata kazi kupitia hiki chombo,
Mambo wanayotazama ni haya;
1.Idadi ya wasailiwa
2.Idadi ya nafasi za kazi kwa nafasi husika
3.Alama anazopata msailiwa.
Kama mkifanya usaili kwa nafasi mathalani kumi hapo watachukuliwa kumi wa kwanza, lakini wanawake hupewa upendeleo. Anaweza akachomolewa wa 13 na akaachwa mwanaume wa 10 au wa 9.
Kama utakuwa umepata alama angalau hamsini unakuwa umetimiza vigezo vya kuajiriwa, hivyo wanaweza kukuita kwa kazi ambayo hata hujaiomba ndani ya miezi kama 3 hivi.
Kuhusu kushindwa baadhi ya maswali:Mimi niliyajibu yote ila kuna maswali kama 2 hivi nilitaja points kama 3 badala ya 5 walizozihitaji. Na kuna moja nililijibu ila mpala leo sijafuatilia kama yale majibu yalikuwa sahihi.
tupe uzoefu kidogo, nyinyi kwenye oral mliitwa wangapi na nafasi zilikuwa ngapi?
 
Mimi nilipata kazi kupitia hiki chombo,
Mambo wanayotazama ni haya;
1.Idadi ya wasailiwa
2.Idadi ya nafasi za kazi kwa nafasi husika
3.Alama anazopata msailiwa.
Kama mkifanya usaili kwa nafasi mathalani kumi hapo watachukuliwa kumi wa kwanza, lakini wanawake hupewa upendeleo. Anaweza akachomolewa wa 13 na akaachwa mwanaume wa 10 au wa 9.
Kama utakuwa umepata alama angalau hamsini unakuwa umetimiza vigezo vya kuajiriwa, hivyo wanaweza kukuita kwa kazi ambayo hata hujaiomba ndani ya miezi kama 3 hivi.
Kuhusu kushindwa baadhi ya maswali:Mimi niliyajibu yote ila kuna maswali kama 2 hivi nilitaja points kama 3 badala ya 5 walizozihitaji. Na kuna moja nililijibu ila mpala leo sijafuatilia kama yale majibu yalikuwa sahihi.
halafu ninyi maswali kwenye oral yalikuwa mangapi jumla?
 
hahaha poleni vijana before nimewah kufanya interview hapo utumishi mara mbili na nilipata post zote mbili.
hawa wana tabia moja hivi kwanza wanakuangalia umevaaje (hii ni point ya muhim saana na ina alama zake ) cha pili wanaangalia confidence yako plus ushap wa akili yaako (ndo maana unakuta wanakuuliza maswali fasta fastaa yaan hawakupi muda wa kufikiria au wanakuuliza swali lililo kaaa ki taalum zaida (how to do it)

always jiamini na kuwa brief kwenye maswali yaako ila lile unalolijua zaid wajibu in details (sasa inahtajika kuwa na uwezo wa kuongea fluent english teena fasta na i tune akili yaako waone wao kama wanafunz wewe ndo mwalimu na ondoa uoga kabisaa)

mimi ya kwanza niliulizwa maswali 9 na ya pili niliulizwa jumla maswali 11 na hapa nilishindwa swali moja tuu.

kila la kheri wadogo zangu. ila interview nzuri ni za huku ng'ambo banaa hadi raha. kwa format ya utumishi mitihani yao ya kwanza watakuwa wanaacha saana watu ambao ni vichwa ktk interview ya kwanza.
 
mkuu, nyinyi kwenye oral ya mwisho mlikuwa wangapi? na nafasi zilikuwa ngapi mnazogombania?
 
Bhc bora kuja uko ng'ambo kuomba kazi mzeebaba kuliko uku kweny masinema kila siku,,,,ni WAP uko ili tuje?
 
mkuu, nyinyi kwenye oral ya mwisho mlikuwa wangapi? na nafasi zilikuwa ngapi mnazogombania?
mkuu mi najua utumishi ratio yao ni 1:3 yaani nafasi 1 kwa watu 3...zikiwa mbili oral inatakiwa muitwe 6..........
 
hahaha poleni vijana before nimewah kufanya interview hapo utumishi mara mbili na nilipata post zote mbili.
hawa wana tabia moja hivi kwanza wanakuangalia umevaaje (hii ni point ya muhim saana na ina alama zake ) cha pili wanaangalia confidence yako plus ushap wa akili yaako (ndo maana unakuta wanakuuliza maswali fasta fastaa yaan hawakupi muda wa kufikiria au wanakuuliza swali lililo kaaa ki taalum zaida (how to do it)

always jiamini na kuwa brief kwenye maswali yaako ila lile unalolijua zaid wajibu in details (sasa inahtajika kuwa na uwezo wa kuongea fluent english teena fasta na i tune akili yaako waone wao kama wanafunz wewe ndo mwalimu na ondoa uoga kabisaa)

mimi ya kwanza niliulizwa maswali 9 na ya pili niliulizwa jumla maswali 11 na hapa nilishindwa swali moja tuu.

kila la kheri wadogo zangu. ila interview nzuri ni za huku ng'ambo banaa hadi raha. kwa format ya utumishi mitihani yao ya kwanza watakuwa wanaacha saana watu ambao ni vichwa ktk interview ya kwanza.
nilikua brief mpaka nikajishtukia
 
Back
Top Bottom