Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

"Shetani wewe rudi nyumba hatua 3 alilolipanga Mungu lazima litimie", Mkuu Asante kwa kutoa mawazo na ushauri wako lakini ulipaswa kumfahamu Lisu ni nani? Kuna Lisu mmoja tu Tanzania na duniani. Lisu ameonja mauti haogopi tena kifo! Hakuna mateso atakayopata tena duniani yatakayozidi mateso aliyopata kwa kupigwa Lisasi 16, na kukoswa na nyingine 16!

Hii ilikuwa zaidi ya vita!! Pengine hata wakati wa vita ya Kagera majeshi ya Tz yangebahatika kumkamata Idd Amini dada wasinge mtesa kama alivyo teseka Lisu.
 
Maneno aliyoongea ni ya kawaida sana hata akina Mbowe huwa wanayaongea kwenye press conference pale ufipa. Hivi wameshasema Mara ngapi kwamba hawaiamini serikali kwani nayo ni mtuhumiwa hivyo wakaomba upelelezi kutoka nje? Kuna kipya Lissu kaongea pale labda jipya ni hilo la ushoga ambalo Lumumba wamelibebea bango. Atarudi na atagombea Urais mwaka 2020 na atashinda sorry to say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa mimi sina chama, namfahamu Lissu na kumkubali sana tuu, pia na sympathize yeye kwa kilichompata, ila ninachofanya hapa ni being objective. Pia nafahamu fika kinachotokea kila ukifanya ukosoaji wa Chadema au viongozi wao wanaowaabudia, hivyo wale wa kutukana, be free to do so, the truth will always be the truth and will stand up to the end.

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaodhania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana, hivyo nilishauri humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Pia nikawatambulisha aina mbili za wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Nikauliza
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mwisho nikasema waandishi wenye uwezo wa IJ, wanaweza kumsaidia Kamanda Siro kuwabaini wasiojulikana hawa, na mimi ni miongoni mwa waandishi wa IJ,
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Pia nilizungumzia
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was good exposure and a golden opportunity that wad a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politics kuwafunda makada wa Chadema kuwa na specif agenda ambayo kila wakipata fursa kwenye international foras, wataipush forward kwa kujipanga waseme nini, what to say and how to say it in terms of International politics. That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Kwa upande wa lingua, kiukweli Lissu ana flow, kwenye top 5 wetu, mtu pekee mwenye uwezo wa kuflow kivile ni Mama Samia, na labda Majaliwa, tukishuka chini zaidi kwa mawaziri, MFA na January they are good. Kwa upinzani, ikitokea mtu kama Zitto akakaribishwa Hard Talk kiukweli mtaona the difference, nawashauri Wapinzani the man to bank on ni Zitto, kwa sababu Lissu kaharibu, unless awe kaharibu makusudi ili akirejea apokelewe kule so that they can make big noises!.
He made an history in BBC Hard Talk kuwa Mtanzania wa pili kuhojiwa baada ya Ben Mkapa, ambaye alihojiwa na Tim Sebastian. Sikumbuki kama JK alihojiwa, kwa JK nakumbuka ni CNN.

All and all, ile tuu kusurvive 16 bullets ni muujiza, Mungu ni mwema.
Hongera zake.

Paskali
Rejea za Ushauri wangu kwa Tundu Lissu na Chadema
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums

Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! - JamiiForums

Upadate 1
Huu ni mchango very objective

Asante kwa very objective contribution.
P.
nakupongeza Pascal kwa kutambua utumbo aliouharisha lissu kwenye hardtalk...mi nadhan ana mental case...sio mzima...amezungumzia vitu ambavyo hata yule mzungu alikuwa anamshangaa..he had no objective inputs to that interview..it was rubbish....i repeat it was rubbish...its a shame to my country to have such kind of a human being existing...shameee....
 
Hivi wakimpeleka mahakamani watamshitaki kwa lipi?

1. Hawajafungua jalada la upelelezi, hawajahoji mtu hata mmoja, hawajakamata mtu hata mmoja wa kuzugia juu ya Jaribio la kuuawa kwake, Sasa watajenga hoja gani ya kijinasua na tuhuma mbele ya JAJI?

2. Kapigwa risasi kwenye compound ya makazi ya viongozi, hakukuwa na mlinzi hata mmoja, Watamueleza vipi Jaji mpaka amuone Lissu ana kesi ya kujibu?

3. Wameng'oa CCTV camera katika eneo la tukio, wakili wa Lissu akiutaka upande wa Jamhuri ulete hiyo footage wataiipeleka?

4. Kanyimwa pesa za matibabu ya bunge, Watamueleza nini Jaji kuwa walimnyima kwa nia njema mtu ambaye hakujipeleka mwenyewe nje bali alipelekwa nje huku akiwa hajitambui?

5.Ni mtu aliyetoa taarifa za kufuatiliwa na watu ambao wanaonekana hawakuwa na nia njema lakini hakupewa ulinzi wowote, watamueleza nini Jaji kuwa walizifanyia kazi tahadhari zake?

Tusing'ate maneno hapa:

Kama inatembea kama bata, inakula kama bata, inatweta kama bata na inakunya kama bata, basi hiyo ni bata huhitaji ushahidi wa yai ili kuthibitisha kuwa hiyo ni bata!. Hiyo ni bata tu!!!, Weka tiki, pigia msitari!!

Roho ya Lissu ilikataa kufa kwa risasi 16 haiwezi kusurrender kwa selo na Jela!

Kuna roho zimeumbwa duniani kamwe hazikubali hata siku moja kupigia goti roho nyingine dhalimu!. Never!. Ya Lissu ni mojawapo!!!
umeandika utumbo gani huu...
 
Kweli kabisa Pascal, kuna tatizo kubwa kwa wafuasi hadi wanachama wa hivi vyama kuelewa sera na itikadi ya vyama vyao ndio maana wanapinga kila kitu hata kama ndio sera yao kwavile tu anaitekeleza JPM. Sera ya ushoga umeona ilivyompa shida Lissu ingawa wafia vyama watamtetea. Kuhusu kurudi atarudi tu, mbona Zitto anaropoka kila siku na afanywi chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
ebwana..hivyo vyama havina sera wala itikadi..vinaendeshwa kwa remote kutoka nje ndio maana vinalazimika kufuata sera za mabeberu kama ku support ushoga na mambo kadhaa
 
Hivi ushahidi ataupata wapi zaidi ya ushahidi wa kimazingira uliopo?

Leo hii hata nyie waandishi mnaweza kukusanya ushahidi na kuandika habari za kiuchunguzi juu ya nini kilitokea Lissu aliposhambuliwa?

Kwanini hata Azory wa gazeti la Mwananchi hakuachwa afanye uchunguzi wake kuhusu mauji ya MKIRU?

Serikali iruhusu uchunguzi huru alafu muone kama alioongea yatakuwa ya uwongo.

Hivi umejiuliza IGP au waziri wa Mambo ya Ndani akienda kuhojiwa nini kitatokea kwa kuangali jinsi swala hili liivyokuwa handled mpaka sasa?

Unadhani kati ya Lissu,IGP au Waziri wa Mambo ya Ndani, nani angekuwa na wakati mgumu wa kujibu maswali yanayomuhusu?

Alafu si ni wewe Pascal uliewahi kuleta mada iliyoibua mjadal kuhusu Lissu kupigwa risasi?

Sometimes huwa una masilahi na mada unazoleta humu ila inawezekana tu watu humu hawajakujua na jambo ambalo una masilahi nalo unaweza kulianzishia mada zaidi ya moja hasa ikitokea kuna mtu wako ameguswa au jambo husika linakuhusu au kuna mtu unataka kumnanga au kumfagilia..

In short, sometimes hauko objective kama unavyotaka watu humu wakuamini.

Pascal usidhani unajua kila kitu!!
Paskali hutaamini kitakachotokea
 
"The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country."
===========================
Acha mapenzi binafsi na woga wa kushambuliwa, tuchambulie ulichokiona kwenye yale mahojiano
hivi unawez tupa observation yako fupi tu..Lissu alipigwa na serikali au mijamaa kutoka ndani ya chama chake...fanya reference ya Chacha Wangwe
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa mimi sina chama, namfahamu Lissu na kumkubali sana tuu, pia na sympathize yeye kwa kilichompata, ila ninachofanya hapa ni being objective. Pia nafahamu fika kinachotokea kila ukifanya ukosoaji wa Chadema au viongozi wao wanaowaabudia, hivyo wale wa kutukana, be free to do so, the truth will always be the truth and will stand up to the end.

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaodhania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana, hivyo nilishauri humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Pia nikawatambulisha aina mbili za wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Nikauliza
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mwisho nikasema waandishi wenye uwezo wa IJ, wanaweza kumsaidia Kamanda Siro kuwabaini wasiojulikana hawa, na mimi ni miongoni mwa waandishi wa IJ,
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Pia nilizungumzia
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was good exposure and a golden opportunity that wad a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politics kuwafunda makada wa Chadema kuwa na specif agenda ambayo kila wakipata fursa kwenye international foras, wataipush forward kwa kujipanga waseme nini, what to say and how to say it in terms of International politics. That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Kwa upande wa lingua, kiukweli Lissu ana flow, kwenye top 5 wetu, mtu pekee mwenye uwezo wa kuflow kivile ni Mama Samia, na labda Majaliwa, tukishuka chini zaidi kwa mawaziri, MFA na January they are good. Kwa upinzani, ikitokea mtu kama Zitto akakaribishwa Hard Talk kiukweli mtaona the difference, nawashauri Wapinzani the man to bank on ni Zitto, kwa sababu Lissu kaharibu, unless awe kaharibu makusudi ili akirejea apokelewe kule so that they can make big noises!.
He made an history in BBC Hard Talk kuwa Mtanzania wa pili kuhojiwa baada ya Ben Mkapa, ambaye alihojiwa na Tim Sebastian. Sikumbuki kama JK alihojiwa, kwa JK nakumbuka ni CNN.

All and all, ile tuu kusurvive 16 bullets ni muujiza, Mungu ni mwema.
Hongera zake.

Paskali
Rejea za Ushauri wangu kwa Tundu Lissu na Chadema
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums

Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! - JamiiForums

Upadate 1
Huu ni mchango very objective

Asante kwa very objective contribution.
P.

Bandiko zuri Sana... Mimi binafsi sishauri na nisingependa arudi nchini mpaka 2025..abaki huko kwa exile..
 
Back
Top Bottom