Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Paschal nilikuwa ninakuheshimu lakini kwa mada hii, umejianika wazi kuwa wewe ni mchumia tumbo, unaye penda kujipendekeza kwa wauaji ili wakuone wa maana. Bwanamdogo umechelewa uteuzi umekwishafanyika subiri utafikiliwa.
 
Waandishi Wengi Sana Awamu Hii Wamekuwa Wakijipendekeza, Kwa Maslai Binafsi Pengine Ili Wapate Nyazfa, Hivyo Wasomaji Tuwe Makini Sana Ya Kuchambua Pumba Na Mchele
 
Hivi wakimpeleka mahakamani watamshitaki kwa lipi?

1. Hawajafungua jalada la upelelezi, hawajahoji mtu hata mmoja, hawajakamata mtu hata mmoja wa kuzugia juu ya Jaribio la kuuawa kwake, Sasa watajenga hoja gani ya kijinasua na tuhuma mbele ya JAJI?

2. Kapigwa risasi kwenye compound ya makazi ya viongozi, hakukuwa na mlinzi hata mmoja, Watamueleza vipi Jaji mpaka amuone Lissu ana kesi ya kujibu?

3. Wameng'oa CCTV camera katika eneo la tukio, wakili wa Lissu akiutaka upande wa Jamhuri ulete hiyo footage wataiipeleka?

4. Kanyimwa pesa za matibabu ya bunge, Watamueleza nini Jaji kuwa walimnyima kwa nia njema mtu ambaye hakujipeleka mwenyewe nje bali alipelekwa nje huku akiwa hajitambui?

5.Ni mtu aliyetoa taarifa za kufuatiliwa na watu ambao wanaonekana hawakuwa na nia njema lakini hakupewa ulinzi wowote, watamueleza nini Jaji kuwa walizifanyia kazi tahadhari zake?

Tusing'ate maneno hapa:

Kama inatembea kama bata, inakula kama bata, inatweta kama bata na inakunya kama bata, basi hiyo ni bata huhitaji ushahidi wa yai ili kuthibitisha kuwa hiyo ni bata!. Hiyo ni bata tu!!!, Weka tiki, pigia msitari!!

Roho ya Lissu ilikataa kufa kwa risasi 16 haiwezi kusurrender kwa selo na Jela!

Kuna roho zimeumbwa duniani kamwe hazikubali hata siku moja kupigia goti roho nyingine dhalimu!. Never!. Ya Lissu ni mojawapo!!!
Shikamoo Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona gazeti la Tanzanite linaropoka kila siku na bado lipo nchini? Unataka kusema Tanzania kuna double standards/ ubaguzi?
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa mimi sina chama, namfahamu Lissu na kumkubali sana tuu, pia na sympathize yeye kwa kilichompata, ila ninachofanya hapa ni being objective. Pia nafahamu fika kinachotokea kila ukifanya ukosoaji wa Chadema au viongozi wao wanaowaabudia, hivyo wale wa kutukana, be free to do so, the truth will always be the truth and will stand up to the end.

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaodhania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana, hivyo nilishauri humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Pia nikawatambulisha aina mbili za wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Nikauliza
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mwisho nikasema waandishi wenye uwezo wa IJ, wanaweza kumsaidia Kamanda Siro kuwabaini wasiojulikana hawa, na mimi ni miongoni mwa waandishi wa IJ,
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Pia nilizungumzia
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was good exposure and a golden opportunity that wad a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politics kuwafunda makada wa Chadema kuwa na specif agenda ambayo kila wakipata fursa kwenye international foras, wataipush forward kwa kujipanga waseme nini, what to say and how to say it in terms of International politics. That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Kwa upande wa lingua, kiukweli Lissu ana flow, kwenye top 5 wetu, mtu pekee mwenye uwezo wa kuflow kivile ni Mama Samia, na labda Majaliwa, tukishuka chini zaidi kwa mawaziri, MFA na January they are good. Kwa upinzani, ikitokea mtu kama Zitto akakaribishwa Hard Talk kiukweli mtaona the difference, nawashauri Wapinzani the man to bank on ni Zitto, kwa sababu Lissu kaharibu, unless awe kaharibu makusudi ili akirejea apokelewe kule so that they can make big noises!.
He made an history in BBC Hard Talk kuwa Mtanzania wa pili kuhojiwa baada ya Ben Mkapa, ambaye alihojiwa na Tim Sebastian. Sikumbuki kama JK alihojiwa, kwa JK nakumbuka ni CNN.

All and all, ile tuu kusurvive 16 bullets ni muujiza, Mungu ni mwema.
Hongera zake.

Paskali
Rejea za Ushauri wangu kwa Tundu Lissu na Chadema
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums

Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! - JamiiForums

Upadate 1
Huu ni mchango very objective

Asante kwa very objective contribution.
P.
Kaka Paskali uko sahihi na hata mimi nina hofu kama yako. Ila wewe kuandika hapa nafikiri ni kama uchochezi kwa wenye nguvu kufanya ulichoandika. ungetafuta private e-mail yake ukamwandikia yeye.
 
Lissu mwenyewe hana mpango wa kurudi. Anachokifanya sasa hivi ni kuprovoke serikali na viongozi wake ili watoe matamko ambayo Lissu atayatumia kama vielleezo vya kuhalalisha aitwe mkimbizi wa kisiasa. Bahati mzuri au labda mbaya matamko kama hayo hayajatolewa na kiongozi yeyote wa serikali. Hata anaposema atagombea urais ni geresha. Huyu harudi. Yeye Lissu anafahamu kuwa yeye na dereva wake wana kesi huku Tanzania na asingependa ianze kwa sababu ataumbukà

Kagundua Ulaya kutamu, huoni alivyonyoa kiduku na kuchapia suti ya vipande vitatu juzi?
 
"The Hard Talk kwa Lissu was a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politivs kuwafunda makada wa Chadema, wakipata international forums, waseme nini in terms of International politics, That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country."
===========================
Acha mapenzi binafsi na woga wa kushambuliwa, tuchambulie ulichokiona kwenye yale mahojiano

Bado anataka tuamin hana chama kweli unafiki hautaisha duniani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanabodi,
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa mimi sina chama, namfahamu Lissu na kumkubali sana tuu, pia na sympathize yeye kwa kilichompata, ila ninachofanya hapa ni being objective. Pia nafahamu fika kinachotokea kila ukifanya ukosoaji wa Chadema au viongozi wao wanaowaabudia, hivyo wale wa kutukana, be free to do so, the truth will always be the truth and will stand up to the end.

Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.

Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu. him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela, kwa sababu Mandela alirejea kuendeleza mapambano bila kujua nini kitampata, na alipofungwa jela na kusurvive hadi kuja kuja kuwa rais wa SA, hakujua, lakini Lissu, being a lawyer, anajua kabisa huwezi kutuhumu na kutaja majina ya watu bila ushahidi, hivyo ukirejea nchini, anajua fika akikanyaga tuu ardhi ya Bongo, atapokelewa na nani, na anajua atafikia wapi, and kwa situation hii tulionayo sasa, with vitu kama polonium 210, I doubt kama he will be so lucky kama Mandela.

Hivyo huu ni wito kwa watu wa karibu na Lissu, mshauri tuu aendelee na matibabu, hata mwili ukipona kabisa, aendelee tuu na matibabu ya kisaikolojia, ila aandike barua kwa Spika kuelezea kuwa bado anaendelea na matibabu, na kabla hajarejea, atumie international fora, kujihakikia akirejea, hata pokelewa na wale mimi ninaodhania ndio watampokea na hata fikia kule mimi ninakodhania atafikia.

Waliomshambulia Lissu ni watu wasiojulikana, hivyo nilishauri humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Pia nikawatambulisha aina mbili za wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Nikauliza
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Mwisho nikasema waandishi wenye uwezo wa IJ, wanaweza kumsaidia Kamanda Siro kuwabaini wasiojulikana hawa, na mimi ni miongoni mwa waandishi wa IJ,
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Pia nilizungumzia
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums
My Take.
The Hard Talk kwa Lissu was good exposure and a golden opportunity that wad a waste, Chadema inabidi ianzishe kitengo cha International Politics kuwafunda makada wa Chadema kuwa na specif agenda ambayo kila wakipata fursa kwenye international foras, wataipush forward kwa kujipanga waseme nini, what to say and how to say it in terms of International politics. That was a great opportunity kwa Lissu kuongea as a president in waiting na sio kuongea kama mwana harakati mwanzo mwisho. Hakupaswa kutoa tuhuma zisizo na ushahidi, pia hakupaswa kuponda mwanzo mwisho as if Magufuli is all that evil, and is doing nothing good for this country.

Kwa upande wa lingua, kiukweli Lissu ana flow, kwenye top 5 wetu, mtu pekee mwenye uwezo wa kuflow kivile ni Mama Samia, na labda Majaliwa, tukishuka chini zaidi kwa mawaziri, MFA na January they are good. Kwa upinzani, ikitokea mtu kama Zitto akakaribishwa Hard Talk kiukweli mtaona the difference, nawashauri Wapinzani the man to bank on ni Zitto, kwa sababu Lissu kaharibu, unless awe kaharibu makusudi ili akirejea apokelewe kule so that they can make big noises!.
He made an history in BBC Hard Talk kuwa Mtanzania wa pili kuhojiwa baada ya Ben Mkapa, ambaye alihojiwa na Tim Sebastian. Sikumbuki kama JK alihojiwa, kwa JK nakumbuka ni CNN.

All and all, ile tuu kusurvive 16 bullets ni muujiza, Mungu ni mwema.
Hongera zake.

Paskali
Rejea za Ushauri wangu kwa Tundu Lissu na Chadema
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!. - JamiiForums

CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums

Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele! - JamiiForums

Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! - JamiiForums

Upadate 1
Huu ni mchango very objective

Asante kwa very objective contribution.
P.
Nimeamua kusaini in ili tu nipost hiki.....

Akili ya lissu na yako ipi ni kubwa????....Na kwann bandiko lako linalenga kuweka roho juu??..

anyway.. endelea kutumika... mayala niliyemjua si wewe ni mwingine.. unakimbia kivuli chako
 
Back
Top Bottom