Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
watamuibia huyu ili atie akiliUtakabwa, wewe! unadhani wabongo wote waishio nje ya nchi ni wema? Acha kutafuta sifa za kipumbavu.
Utakabwa, wewe! unadhani wabongo wote waishio nje ya nchi ni wema? Acha kutafuta sifa za kipumbavu.
watamuibia huyu ili atie akili
BORA KESHO SHULE ZIFUNGULIWE TU!Hello, Hello,...........,
Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi. Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, CEO, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.
Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanajf tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.
Simplicity.
Mkuu, Njo Dubai tupige bizness bhana lete karafu,Tanzanite,sangara nk..tuchape hela za wa managa!!mbona mnawadis sana wabongo waishio njee, wamekuwa hawafai kiasi hicho?
Mkuu, Njo Dubai tupige bizness bhana lete karafu,Tanzanite,sangara nk..tuchape hela za wa managa!!
BORA KESHO SHULE ZIFUNGULIWE TU!
Kho kho kho!!kumbe huko wananunua karafu eeh!Mkuu, Njo Dubai tupige bizness bhana lete karafu,Tanzanite,sangara nk..tuchape hela za wa managa!!
NINA UHAKIKA IKIFUNGULIWA SHULE ND'O MWISHO WA THREADS ZA NAMNA HII.Shule sikumbuki hata maana yake maana nimemaliza miaka mingi sana, zimebaki shule za kitaa.
Soko huriya... Free market.. (lete mazao yako)Kho kho kho!!kumbe huko wananunua karafu eeh!
Sindo kwenyewe HQMkuu narudi na Emirates, nitaangalia uwezekano au safari ijayo.
Inshallah nasubiri Msimu....Soko huriya... Free market.. (lete mazao yako)
Hapana, sio wote kuna wengine wako poa ila wengine ni majangambona mnawadis sana wabongo waishio njee, wamekuwa hawafai kiasi hicho?
Mkuu, funguka majanga yao nini..Hapana, sio wote kuna wengine wako poa ila wengine ni majanga
Huwa natafakari sana pale binadamu mwezako/Mtanzania mwezako anapokuona wewe hufai eti kwa sababu tu unaenda nje ya nchi ama unauliza msaada kwa jamaa zako walioko nje. Mimi niliitwa taperi na matusi ya kila namna baada ya kuleta uzi wa kuzamia kwenda South Africa na Botswana. Ila niligundua Watanzania wengi tuna wivu na chuki za hali ya juu.mbona mnawadis sana wabongo waishio njee, wamekuwa hawafai kiasi hicho?
Mzee usijal....vipi ulifika?? Mwanaume anaetafuta hatima ya kesho huwa hababaishwi na vitisho....maneno au vifijo.Huwa natafakari sana pale binadamu mwezako/Mtanzania mwezako anapokuona wewe hufai eti kwa sababu tu unaenda nje ya nchi ama unauliza msaada kwa jamaa zako walioko nje. Mimi niliitwa taperi na matusi ya kila namna baada ya kuleta uzi wa kuzamia kwenda South Africa na Botswana. Ila niligundua Watanzania wengi tuna wivu na chuki za hali ya juu.