Kwa mlio soma,mnao jua tuchangiane! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mlio soma,mnao jua tuchangiane!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gud gud, Dec 12, 2011.

 1. G

  Gud gud Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni kwa anayejua au aliyesoma Uganda anisaidie jinsi ya kupata shule a level,au hata kama anaweza kunikonekti na mtu anayeweza nisaidia,NAOMBENI MSAADA HUYU KIJANA AKASOME
   
 2. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania mbona shule ziko nyingi!!
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nachojua wengi waliofeli ndio huwa wanakimbilia Uganda. Kijana wako alifeli?
   
 4. G

  Gud gud Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana ana 3 ya 23
   
 5. G

  Gud gud Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo si uchache wa shule.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Bora akomae bongo tu.
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Basi mie nafungua thread nijue kuna swali gani hilo wanaloulizwa waliosoma tu, nijue kipimo cha usomi ni nini.

  Kufungua naona mtu anataka ushauri kuhusu kusoma Uganda!
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Hapo theoretically amefaulu ila practically amefeli. Ngoja waje waliosoma uganda
   
 9. G

  Gud gud Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So umejiudhi kukuta mambo ya kusoma Ug? Ulitaka ukutane na ajira kwa walio soma? Umekurupa mkuu ni kwa walio soma,wanaofahamu##
   
 10. G

  Gud gud Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you!
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu wa kike anaingia form2 hukohuko..nipe tyme nije nimpeleleze kama yuko aware kidogo
   
 12. s

  sixmund6 Senior Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha haaaa! Kijana unamitego ..
   
 13. s

  sixmund6 Senior Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Niunganishe nae man!
   
 14. G

  Gud gud Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you mkuu! Am waiting
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Kujiudhi ni oxymoron, and I don't do those.

  Umekosa somo hapa la kujieleza vizuri na kuoanisha kichwa cha habari na habari.

  Umekosa somo hapa kwamba kusoma shule Uganda na kusoma ni vitu viwili tofauti.

  Unayekurupuka weye unayeongelea ajira kwa waliosoma bila kujua tofauti ya kusoma na kusoma shule Uganda.

  Mpaka sasa hujaeleweka unataka mchango wa waliosoma au waliosoma shule Uganda?
   
 16. G

  Gud gud Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka mchango kwa matair_ walio soma shule za ma_aira kama wewe.
  Yani hapo ndo umehangaika mpaka basi afu ndo umepata hizo kasoro? Usiwe ***** nina wasiwasi na uelewa wako.kibarua ulicho jipa mpaka memde wanakuonea uvivu. Si kila king'aacho ni dhahabu vingine chupa man,usije toa kamasi kwa kulazimisha hoja.UMELAZIMISHWA KUSOMA KIlA THREAD AU KUCHANGIA? Uelewa wako ni zero + pumba
   
Loading...