Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Maelekezo magumu; waafrika mila yetu ni kwamba: mkubwa hakosei. tunasibiri muda utuponye. "time is a great healer". kutokana na uhaba wa mvua nchi nzima inawezekana baadaye njaa ikalikumba taifa na kama itakuwa hivyo kama wawakilishi wa wapiga kura wenye njaa tutalazimika kusema na kuenda kinyume na mila yetu wenyewe na sijui. kwa sasa mkubwa hakosei. hayo ndiyo maoni yangu.. usiyatoe nje ya mtandao wetu huu maana hamkawii....