Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

tunasubiri mje na ndimu baada ya october 25!Kura yangu kwa magufuli, Hapa kazi tu
 
Hapo Unataka Kubadili Nyeusi Kuwa Nyekundu,unaforce Vitu Mkuu...Kwa Mgombea Yupi Wa Ubunge Mlie Naye?Huyu Mtolea Ambaye Hata Ushawishi?

Mtolea huwezi kumfananisha na mtemvu hata kidogo,Temeke tumeamua hatutaki mbunge anaelala bungeni kama mtemvu miaka kumi hajawai kuongea bungeni,mtolea atosha
 
Mwanza ccm unawatafuta kwa darubini ....ni kama hawapo
 
Mtolea huwezi kumfananisha na mtemvu hata kidogo,Temeke tumeamua hatutaki mbunge anaelala bungeni kama mtemvu miaka kumi hajawai kuongea bungeni,mtolea atosha

Kwani Kuongea Bungeni Ndo Maendeleo?Barabara Zilizojengwa Chini Ya Miaka Yake Ya Uongozi Ulikuwa Unahoji Alikuwa Anaongelea Bunge Gani??
 
hesabu rahisi[that's why I like maths]
ccm ----10
chadema---4
Nccr-------3
cuf--------3 or sema vyovyote
sasa basi 4+3+3=10
hii ni kabla ya lowasa kuja,kabla ya sumaye,kabla ya kingunge,kabla ya mwapachu
 
Jipeni Moyo!!Hamjawahi Kushinda Hata Udiwani Temeke Hata Mmoja,mnategemea Kushinda Mwaka Huu??

Kwani we hujui huu ndio wakati muafaka wa mabadiliko?! Au umejiondoa ufaham tuu..hii haiitaji ata twishen.. Ni lowasa mabadiliko na mabadiliko lowasa
 
Morogoro hii ninayoifahamu mie hapana aisee ccm70% ukawa 29.5%
 
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.

Poa. Haina noma!
 
Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hata afanyaje Dar es salaam


Umekurupuka.
 
Ccm nambari one,lowassa anajua,sumaye anajua,kingunge anajua,ukawa wanajua
 
Ni rahisi kusema, lakini si rahisi kutekeleza.Kwa jinsi mambo yanavyo onekana,CCM imejipanga vilivyo kwa magoli ya mkono.Kwa kweli UKAWA kupeleka mgombea wake Ikulu utakuwa muujiza.Huu ndio ukweli,hata kama hatuupendi.
Mikoa hiyo Ni Dar es Salaam,Mbeya,Mwanza,Arusha,Morogoro,Tanga,Kagera,Tabora na Dodoma

Chanzo: Mwananchi
 
Hivi huyu anaesema ni kimara tu ni mkazi wa dar kweli? Hebu njoo huku kwa ma dar stamina tukupe vivid example
 
Back
Top Bottom