Mnajipa moyo wa bure rais ni Magufuli
Uku ukawa tu.. Labda we upo temeke ya lumumba
Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hata afanyaje Dar es salaam
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.
Labda Upo Temeke Gani Mkuu??Eti Hakuna Ccm Mimi Ni Nani?
Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hata afanyaje Dar es salaam
Ukiangalia hapo mpaka sasa magufuli ana uhakika wa kushinda mikoa ya mwanza,dodoma,dar,tanga,tabora,kagera na morogoro ambazo ni ngome imara za ccm.kwa hali niliyoiona arusha wananchi wamechoka na upinzani na wanataka kuirudisha ccm kundini hvyo ccm itashnda,kule mbeya kelele ziko pale mbeya mjini tu ila huko kwingne ccm itashnda kwa kishindo kikubwa.msidanganyike na wingi wa watu kwenye mikutano yenu ambayo mnaifanyia mjini pekee,sisi wenzenu huku site tunapiga kampeni za kitanda kwa kitanda.
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko.
tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.
una kidonda kwenye ubongo.... ufikir wako hauko sawa.... kawaida kabisa dar es salaam ina idad kubwa ya watu wapenda mabadiliko... matokeo tutayaona we subir ushike tama siku hiyo
Hilo Gazeti La Mwananchi Halijaandika Kuwa Lowassa Akishinda Hiyo Mikoa Ndo Atakuwa Mshindi,wamesema Atakaye Changa Karata Zake Vizuri Katika Hiyo Mikoa 9,acha Kuquote Vitu Vya Watu Utakavo Wewe Kiushabiki!!
Mpo ccm kimavazi ila kikura mpo ukawa hutaki ndo hivyo hivyo unataka ndo hivyo hivyo