Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

Kwa mikoa hii Tisa Lowassa anaingia Ikulu

Kwa dar es salaam eneo ambalo Lowasa ana ngome ya wapiga kura anaoweza kuwaamini ni KIMARA.Mtafiti yeyote ruksa kuthibitisha hilo.Kimara ni sehemu ndogo mno ya wakazi wa Dar es salaam ambayo haimpi ushindi hata afanyaje Dar es salaam

Unasema kimara kwakua hujawai kufika ubungo kilaza wewe
 
mkuuu acha exaggeration basi kua mkubwa kwa mda basi....mi naona kama unaota ndoto za mchana vileeeeee
 
tupeni statistical data ambazo ziko very vivid kuwa hiyo mikoa yote tajwa hapo juu wananchi wake ni wana ukawa tu pekee na hakuna wana ccm wowote huko. tuache kufikiria kiuenyeji / kiuchawi kama siyo kishirikina au kutumika kisiaa na badala yake let us be too scientific. mwanachi niliowajua kwa miaka 7 iliyopita siyo mwanachi hii niliyoiona kuanzia mwezi march hadi sasa au leo 15, october 2015 na nisifiche kwa sasa silitofautishi hilo gazeti na yale magazeti ya pale bamaga mkabala na petrol station ya tsn.

Bila kuathiri majadiliano yanayoendelea; Gazeti la MWANANCHI la leo halijaandika hicho unachotaka tuamini. Limetoa tu idadi ya waliojiandikisha kwa mikoa yote kisha likasema atakayezichanga karata zake vyema atashinda!

Mwandishi wa thread hii ndiyo kasema kuwa UKAWA itashinda (yeye keshachanga karata zake) ila katumia "Source: Mwananchi" kuonesha kuwa hizo idadi hajatunga yeye.

 
Mtolea huwezi kumfananisha na mtemvu hata kidogo,Temeke tumeamua hatutaki mbunge anaelala bungeni kama mtemvu miaka kumi hajawai kuongea bungeni,mtolea atosha
Nikiwa mwana temeke, pamoja na mapungufu yake, lakini amejitahidi sana kwenye mambo ya barabara hivyo kura yangu anayo. Hiyo temeke ya UKAWA labda pale wanakovuta bange na kula viroba mchana mweupe.
 
Back
Top Bottom