Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,956
- 11,960
Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu nyingi duniani
Actually sababu zipo nyingi ila kwa leo acha tuangalie miji
Unaweza kushangaa ila ukweli ni kwamba miji ni moja ya sababu kwa nini Waafrika tunadharauliwa
Mfano angalia picha hii. Hapa ni Seattle, Marekani
.
Halafu angalia na picha hii. Hapa ni Lagos, Nigeria
.
Unaona tofauti gani?
Hauoni kama sehemu moja ina resemble civilisation na nyingine inaonesha disorganisation?
Hii ndio sababu tunadharauliwa, hata vitu vidogo kama cities tunashindwa kumaintain