Kwa michanuko hii ushindi lazima upatikane

Inaweza kuleta 'changamoto' kwa makocha wa viungo (wanaume)?
(picha kwa hisani ya blogu ya michuzi)
 
Ni changamoto gani unayoiona hapa.

we huoni michanuko hiyo....kocha laini laini tu klatoka kunywa misupu ya pweza si unamkamatia nyavuni hapa....mnashangaa mnamkuta anatweta tu
 
we huoni michanuko hiyo....kocha laini laini tu klatoka kunywa misupu ya pweza si unamkamatia nyavuni hapa....mnashangaa mnamkuta anatweta tu

umenifanya nicheke kwa sauti hadi my wife wangu ameshtuka lo!
 
Hapa wanatanua "misuli" iwe kama lapulapu, iwe inavutika mpaka basi!!
 
umenifanya nicheke kwa sauti hadi my wife wangu ameshtuka lo!

hahaaaa mambo mazito sana haya kiongozi watu wanaleta siasa kwenye mambo haya ya uchavushaji!!!! ni wakinipa kazi hii haki ya mungu ndoa na mama gaude wangu utayumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…