Kwa miaka 47 kati ya 50 ya muungano, Zanzibar haijachangia fedha

Hata kisiasa haupo, upo kikanisa zaidi, huo ndio ukweli.

Linaloutaka muungano zaidi ni kanisa. Ni siri isiyofichika Muungano ukivunjika na kanisa limevunjika Zanzibar.

kwahyo mapadri ndio walioadhimia muungano?unaweza k2mia nch kuifaisi din sio din kuifasil nch.
 
naomba utufafanulie hapo. Ninachojua ni kuwa 'kanisa' pande hizi za East Africa liliingilia kupitia zanzibar. sasa itakuwaje kanisa ambalo liliingia bara kupitia zanzibar litegemee bara ili kuishi zanzibar?

Waliokuwa watawala enzi hizo na watawala wa sasa ni vitu viwili tofauti.

Kuingia tu hakutoshi kuwaritadisha Waislaam ndio jukumu la kwanza la kanisa, bila kutumia mgongo wa Muungano hiyo ni ngumu kwa kanisa.

Pia kumbuka enzi hizo hata hapa ilikuwa ni Zanzibar. Usisahau hilo.
 
kwahyo mapadri ndio walioadhimia muungano?unaweza k2mia nch kuifaisi din sio din kuifasil nch.

Unafikiri Kikwete aliposema kiongozi wa dini alimfata kuongea nae kuhusu Muungano na kamuuliza ikiwa serikali mbili zina matatizo kuwa tatu ndio zitamaliza matizo, alikuwa anamaanisha nani? hakuna zaidi ya pengo au wafuasi wake.

Mimi naamini kwenye Serikali tatu, hii ya kutaka mbili ni shinikizo la kanisa, tuambieni Pengo anataka serikali ngapi?
 
Siwezi kuendelea kubishana na MPU-MBA-VU maana watu watashindwa kututofautisha!

Ha ha ha kumbe ulikuwa unabishana? Tuna tafauti kubwa na watu wanajuwahilo tayari. Wakati watu wanatowa hoja humu kumbe wewe unabishana?

Uliona wapi mwerevu akajisifu?
 
Unafikiri Kikwete aliposema kiongozi wa dini alimfata kuongea nae kuhusu Muungano na kamuuliza ikiwa serikali mbili zina matatizo kuwa tatu ndio zitamaliza matizo, alikuwa anamaanisha nani? hakuna zaidi ya pengo au wafuasi wake.

Mimi naamini kwenye Serikali tatu, hii ya kutaka mbili ni shinikizo la kanisa, tuambieni Pengo anataka serikali ngapi?

Kuna kaukweli fulani hapo hasa alipofoka na kuitaja OIC!
 
Hivi Zanzibar wakisema wanataka invoice ili walipe deni lake kwenye Muungano Tanganyika inaweza kutoa mahesabu?
 
Hata kisiasa haupo, upo kikanisa zaidi, huo ndio ukweli.

Linaloutaka muungano zaidi ni kanisa. Ni siri isiyofichika Muungano ukivunjika na kanisa limevunjika Zanzibar.

dadaangu dini zote zilikuja na
meli na walio zileta wali watesa
sana babu zetu, nakushangaa
wewe mfia dini unapata faida
gani...
 
Sehemu kubwa ya bajeti ya Tanzania inatoka kwa wahisani ambao huisaidia TANZANIA sio Tanganyika. ..
 
Hata kisiasa haupo, upo kikanisa zaidi, huo ndio ukweli.

Linaloutaka muungano zaidi ni kanisa. Ni siri isiyofichika Muungano ukivunjika na kanisa limevunjika Zanzibar.

Kwa hiyo ndio maana mnatekeleza maangamizi kwa Viongozi wa Dini ya Kikristo huko Zanzibar? na hili kuonyesha dhamira yenu hata wanaofanya uharifu huo hawakamatwi na wanaokamatwa mnawaachia huru kuwa hawahusiki.
 
Hata kisiasa haupo, upo kikanisa zaidi, huo ndio ukweli.

Linaloutaka muungano zaidi ni kanisa. Ni siri isiyofichika Muungano ukivunjika na kanisa limevunjika Zanzibar.

Tuwe wakweli... itatuletea amani na matabaka mengi tuliyonayo... sasa kama ni KANISA ni KANISA GANI?

Kwasababu Ukisema ni MISIKITI ina Maana ina weza ikawa ya KHOJA SHIA; ISMAILIA au SUNNI na SHIA MUSLIMS

c.c Pasco and hajjmakwato
 
Back
Top Bottom