mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,428
- Thread starter
- #61
Kitu kimoja tuu huwa napenda kusema maranyingi na kuwaambia watu, dunia hii kokote kule ukiamua kwenda kujificha ufanye madhambi yako au hata uamue kwenda na mkeo/mumeo kujipumzisha na muwe off-mobile phones, amini usiamini kutakuwa na mtu ambaye anawafahamu atawaona na iko siku bila kujua kama anaharibu au la atakwambia mbele za watu kuwa nilikuona mahali flani mwaka flani wewe ukishangaa alinonaje nami nilienda mbali. Watu wanakariri tuu kuwa kwenda mbali na maeneo ya home au watu wanaokufahamu ndo kutojulikana kumbe lets say unakaa kigamboni ukaamua kwenda hoteli za bagamoyo ukiamini hamna anayekujua kumbe siku hiyo mama yako mdogo kaenda tour ya wamama wa kanisani kwao na kakuona akijua uko kikazi au na mumeo sasa siku anakuja kukusimulia home mbele ya mumeo/mkeo macho yanakutoka, wizi mbaya sana.
Daaah ni kweli kabisa mkuu hakunaga siri duniani ila 2ache masihara wanawake nyoka kwel unalala na bwana mwingne guest tena na katoto kadogo maskini pengne kalikuwa kanausoma mchezo mzima lakn kalishndwa kusema