The King of Jews
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 478
- 108
usimwamin mwanamke,hata kama akiwa amekufa.
.........
Hahahaha.......ila kweli
usimwamin mwanamke,hata kama akiwa amekufa.
Yan wewe ungekuwa ni mdogo wangu afu nijue ulishuhudia picha kama hiyo afu hukuniambia ningekuchapa makofi. Unajua kabisa anaweza kumuua kaka yako au kumuharibu mtoto kiafya au kisaikolojia wewe ukamwacha tu na kuondoka? Una tofauti gan sasa na huyo shemeji yako?
Mbona kama umefurahi kwa ulichoona???!!
Lakini kuna fundisho hapo,wakiwa mademu zetu huwa tunawapa sana ride ila tukishaoa ndo hivyo unaagwa wala hujali kama kafika we una zako tu!!!!!!
Usikute na jamaa alikiwa na furaha ya uhuru wa manyani!!!!!
Ila na wewe ni mchawi kwa kukaa kama boga!!!!!
Nakubaliana nawewe,ila napinga neno lakusema kwamba kumuharibu mtoto kiafya labda inategemeana na mbegu za mwanaume!; mimi nimeisha wahi kuwa na mke wa mtu kwa muda wa mwezi mzima kipindi hicho mumewe hayupo alikuwa safari,alikuja na mtoto wa miezi 6 mimi nikaboresha hadi leo mtoto ana afya tele na ameishaanza kutembea.
Kisaikolojia mtoto ameseto ileile.
Mi ningemwambia NJOO uje UMWONE...Mnaishi dunia gani ninyi.....SASA HATA NDOA ISIPOVUNJIKA....HALAFU WAPATE NGOMA....NI KIPI BORA....Mana Ukimwi mkiwa nao ni sawa na ndoa iliyovunjika tu....
.........
Hahahaha.......ila kweli
Nakubaliana nawewe,ila napinga neno lakusema kwamba kumuharibu mtoto kiafya labda inategemeana na mbegu za mwanaume!; mimi nimeisha wahi kuwa na mke wa mtu kwa muda wa mwezi mzima kipindi hicho mumewe hayupo alikuwa safari,alikuja na mtoto wa miezi 6 mimi nikaboresha hadi leo mtoto ana afya tele na ameishaanza kutembea.
Kisaikolojia mtoto ameseto ileile.
I hate hayo mambo sana mkuu....na yanaleta shida sana.....pengine labda kwa vile naona results za kufanya hivyo....nsiseme sana lakini alihamisi nmetoka kumuona mama mmoja anaumwa kila ugonjwa unaoujua wewe kwa sababu ya ngoma....Dr nilishndwa cha kufanya niliishiwa poz na kufadhaika.
Mi nawaza huyo mtoto watamuweka wapi? Maybe you misunderstood the whole situation! Labda kwao kulikuwa kumejaaa, kaka yake akamsindikiza lodge wajipumzishe.
Mimi na Mdingi kuna siku tulienda Mkoa ambao hatuna ndugu kabisaa kwenye reception ya ndugu yetu. Tulivofika tu tukaongozana kuchukua rooms hotel moja katikati ya jiji. Mimi na Mzee, mimi na handbag, Mzee na briefcase ya kizushi, hao yeye mbele, mimi nyuma tukaingia hotelini kukodi rooms.
Sasa kama ungekuwa hutujui, jinsi Mzee wangu alivo kijana mtu mzima kishkaji ungefikiria vibaya sanaaa! Very bad! Hata muuza vyumba alipata insinuations mbaya sanaaa! Hadi alivoniita nakuniuliza Wewe unataka chumba gani, nikamwambia cha juju Baba! Ndo wakajua okay! Kumbe mdingi wake.
SO SOMETIMES ITS NOT EXACTLY WHAT YOU THINK!!!!!!!!!!
Huna msaada wewe na huyo uliemuona hata sio shemeji yaani mke wa rafiki yako maana kweli angekuwa mke wa rafiki yako lazima ungefanya kitu.Uliona tu mama mpitanjia baaaaaaaaaaaasi
I hate hayo mambo sana mkuu....na yanaleta shida sana.....pengine labda kwa vile naona results za kufanya hivyo....nsiseme sana lakini alihamisi nmetoka kumuona mama mmoja anaumwa kila ugonjwa unaoujua wewe kwa sababu ya ngoma....
Nakuunga mkono mkuu,kwa akil za kawaida acngeweza kwenda na mtoto lodge.
,,,ngono mzee tunafanya na ni tamu sana...lakini kuna namna yake mzee,,,,sio hiyo ya mwanamke kudanganya ameenda kwa mama siku mbili mzee...hiyo noma.....Dr,kiukwel ukiangalia wagonjwa pale muhimbili utajsemea naacha ngono but after few hr mambo yale yale yanarudia mungu katutega pabaya
Duh! Mkuu mbona na wewe mlafi hivyo? Sasa umekubaliana na mimi kwenye lipi?
unajua maana ya kum-bemenda mtoto? Hakuna cha inategemea na mbegu ndugu, mwanamke anapofanya mapenzi na mwanamke ambaye si mume wake kama ananyonyesha lazima mtoto aharishe sana tu na inapelekea afya ya mtoto kuzorota! Pia kwa mtoto atapata matatizo ya saikolojia manake penzi la kuiba halafu lodge hawatajali kama mtoto amelala au vip wao wataendelea kukutanisha matumbo yao tu manake wanaiba hawajali chochote wala kuwaza mtoto yuko kwenye hali gani!
jana katika kupumzisha akili nilikuwa na gal wangu sehemu,nilichokiona sikuamini macho yangu.ni shemej yangu yupo na bwana mwingne tena kabeba na mtoto mdogo wakiingia nyumba ya wageni bila hofu. kwa bahati nzuri au mbaya mm hawakuniona.nilichofanya nikumpgia simu mumewe na kumuulza kama yupo na shemeji akanijibu hivi... SHEMEJIO KAENDA NA MTOTO KWA WAZAZI WAKE(WAKWE) KUWASALIMIA ANARUDI KESHO(LEO JUMAPILI)mwisho wa kunukuu.Basi nikazugazuga kwamba nilikuwa nataka kumsalimia ila moyoni niliumia kuona anasalitiwa.naogopa kuharibu ndoa ya watu nimepiga kimya.
My take
Usimwamini mwanamke kwa kila kitu.hebu fikiria kamwaga mumewe kwamba anaenda kuwasabahi wazazi tena kabeba na mtoto ili mumewe amuamini vizuri.duu nyie viumbe mnatisha nimewakubaliii
Datz true mkuu lets wait n see! Katoto ni kidogo washakabemenda